Ngumi: Dullah Mbabe apewa kipigo cha mbwakoko nchini Uingereza

Kafanya attack then jamaa alivo guard kwenye kamba badala akeep distance kumnyima advantage mpinzani ambaye ni tall,yeye kataka kuattack from close range tena huku hana speed ya kuattack...simply jamaa kamkata network kirahisi sana.
Labda maana hizo sifa zipo zipo ila hata hivyo kunakuaga na tatizo kwa bondia 'slugger' kama Dula, kwakua wanakua na ngumi nzito wanakua wamelenga kumaliza pambano mapema.

Kimo cha huyo jamaa kinatosha kumuweka at bay Dula means ili ashinde inatakiwa awe out boxer lakini kwakua naturally yeye ni slugger anakua forced kucheza kama in boxer which guarantees punishment ili aweze kumfikia jamaa.

So kama jamaa ana mikono yenye nguvu na wewe unataka uwe in boxer jua lazima upotee nafikiri ndicho kimemkuta Dula ingawa sijaangalia pambano.
 
Kafanya attack then jamaa alivo guard kwenye kamba badala akeep distance kumnyima advantage mpinzani ambaye ni tall,yeye kataka kuattack from close range tena huku hana speed ya kuattack...simply jamaa kamkata network kirahisi sana.
Yaani hapo lawama kwa kocha. Anajijua yeye slugger speed hakuna halafu akataka kufanya hivyo
 
Sema na jamaa ana 'weak chin', ngumi nyepesi hivyo zimemuweka chini moja kwa moja, je akikutana na mawe ya kina GGG si anafia ulingoni?
 
Huyu Dullah Mbabe nilimuona wa kawaida sana alivyopigana na Twaha Kiduku akabebwa kwenye maamuzi, yuko slow na hana boxing IQ anategemea power tu
 
Na hilo ni tatizo lake kubwa. Kuna binti ni boxer akawa anakaribia pambano, ni pambano lake la kwanza, sa namuuliza "Mpango ni nini?" Ananijibu "Raundi ya kwanza tu namaliza" nikamuuliza kwanini akajibu ana ngumi nzito kumzidi mpinzani nikamwambia ukitegemea ngumi nzito kuna siku utafall yaweza kua pambano lijalo au lijalo tena au hata hili.

Kwakua unakua desperate kutafuta chansi ya kurusha ngumi moja ya kumaliza mchezo unakua radhi arushe jabs na surprisingly unaweza jisahau kuweka guard simply kwakua unajua points zake hazina maana kwakua utampata kwa KO. Akaniambia wewe hujui kitu nikajibu sawa,

Siku ya pambano alishinda ila KO aliipata mbele huko nikamuuliza mbona hukupigana kama slugger akajibu kocha alinikataza aliniambia nichukue muda kumsoma mpinzani. Kocha wa aina hii ndiye anahitajika sasa waweza kuta kocha wa Dula alimwambia jamaa "Lete hapa KO victory" ila vyovyote iwavyo Dula ni journeyman na stepping stone ya Fielding.
 
Sema na jamaa ana 'weak chin', ngumi nyepesi hivyo zimemuweka chini moja kwa moja, je akikutana na mawe ya kina GGG si anafia ulingoni?
Yap ni ngumi nyepesi ila zimetua kidevuni eneo ambalo hukata network haraka tena kapigwa left na right punch kizembe sn.
 
Yaani hapo lawama kwa kocha. Anajijua yeye slugger speed hakuna halafu akataka kufanya hivyo
Kabisa nadhani kocha ndio hovyo zaidi,unapopigana na mtu anayekuzidi kimo akienda kwny kamba usimfuate sababu kamba inampa advantage ya kubend backwawrd,so huwezi mfanya chochote ila ukiwa close yeye akitoka huko kwenye kamba anakuja na added force halafu anakuona face yote na ana attack from both angles kitu kinachokupa ugumu kuguard ama kukwepa,na ndio kilochomponza huyu jamaa.
 
Na hilo ni tatizo lake kubwa. Kuna binti ni boxer akawa anakaribia pambano, ni pambano lake la kwanza, sa namuuliza "Mpango ni nini?" Ananijibu "Raundi ya kwanza tu namaliza" nikamuuliza kwanini akajibu ana ngumi nzito kumzidi mpinzani nikamwambia ukitegemea ngumi nzito kuna siku utafall yaweza kua pambano lijalo au lijalo tena au hata hili.

Kwakua unakua desperate kutafuta chansi ya kurusha ngumi moja ya kumaliza mchezo unakua radhi arushe jabs na surprisingly unaweza jisahau kuweka guard simply kwakua unajua points zake hazina maana kwakua utampata kwa KO. Akaniambia wewe hujui kitu nikajibu sawa,

Siku ya pambano alishinda ila KO aliipata mbele huko nikamuuliza mbona hukupigana kama slugger akajibu kocha alinikataza aliniambia nichukue muda kumsoma mpinzani. Kocha wa aina hii ndiye anahitajika sasa waweza kuta kocha wa Dula alimwambia jamaa "Lete hapa KO victory" ila vyovyote iwavyo Dula ni journeyman na stepping stone ya Fielding.
kutegemea powerful punch sio mbaya, ila ilabidi uwe na boxing IQ japo kidogo, lasivyo utajikuta unalamba sakafu bila kutegemea kama ilivyotokea kwenye hili pambano, hakutegemea kama jamaa atampiga combination, Rocky alishamsoma kwamba Dulla hana akili ya ngumi yeye anarusha tu ngumi bila tahadhari that's why alikuwa anamvuta kwenye kamba naye akaingia king. Ni kweli ulivyosema kwamba amemtumia kama stepping stone, ataendelea kuwatafuta journey money wengine kama wawili ili arudi tena kwenye chati.
 
Zamani tuliwazidi nguvu,wao walikuwa na maarifa,ndiomana walituchukua kama watumwa ktk kazi ngumu.
Nilitegemea watushinde kwenye mambo mengine lakini kwenye ngumi jamani.
Mie nimeishi kidogo Germany, aisee wale jamaa wametuzidi kila kitu haswa kwenye sekta ya michezo. Nilijaribu mpk running nikawa siwawezi, kila mchezo niliokuwa najaribu jamaa wako Zaidi yangu. Mtu mweupe mwogope sana na ukiona mtu mweusi anashinda michezo ujue kakulia kwenye utamaduni wa watu weupe au wapo watu weupe wanamsimamia.

Hii ngozi sijui inafeli wapi?
 
Back
Top Bottom