Nguli wa Sheria Kenya Patrick Loch Lumumba, ampongeza rais Magufuli

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,845
Mwanasheria Nguli kutoka nchini Kenya, Profesa Patrick Loch Lumumba amesema kuwa endapo Rais John Magufuli ataendelea na jitihada za kupambana na ufisadi kwa miaka 10, uchumi wa Tanzania utakuwa juu.
1104369.png

Profesa Lumumba amesema hayo jana kwenye Tamasha la Tisa la Kigoda cha Taaluma cha Mwalimu Nyerere, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), alipokuwa akizungumzia mwanasiasa kuinuka na kuanguka barani Afrika.

Amesema rushwa imeondoa afya barani Afrika, wanasiasa wanapoiacha ikawatawala inawaletea shida. Alisema kwa kipindi kifupi Rais Magufuli alipoingia madarakani, ameonesha njia kwa wanasiasa wengine barani Afrika, ambao wamekumbatia rushwa na kuwaacha wananchi.

“Magufuli ana pumzi ya hewa safi, kama ataendelea hivi baada ya miaka 10 uchumi wa Tanzania utakua juu. Mungu msaidie Rais John Magufuli,” amesema Profesa huyo.

Kwa upande mwingine, amesema kuwa Afrika ni bara zuri na lenye uwezo, ila kilichofanyika kwa miaka 30 iliyopita kumekuwa na viongozi wabinafsi, lakini katika miaka ya sasa wameibuka viongozi wazalendo kama Magufuli, Rais Paul Kagame wa Rwanda, Rais Yoweri Museveni na wengineo.

“Viongozi kama hawa wakiungwa mkono na wananchi wazalendo, Afrika itapiga hatua,” alisema. Aliwataka waafrika wajue watambue kuwa umoja ni nguvu utengano ni udhaifu, hivyo ni jambo linalochukua muda mrefu. “Ni jambo lililonifurahisha kuwa Magufuli ametoa mafichoni watu waliohodhi mali zetu kwa muda mrefu na kukubali kulipa. Ni hatua nzuri inastahili kupongezwa,” amesema.
 
lumbumba chizi kweli huyu,bombadia mtu na mpenzi wake wamekaa sebuleni tunaagiza ndege,mtu na shoga yake wamekaa chumbani tujenge uwanja wa bundi chato,polisi wamebaka kibiti,kimanzichana,bungu,jaribu makomeo anakunywa tangawizi ikulu wewe lumumba kavae gagulo kwanza ndio uje hovyoooo
 
Mwanasheria Nguli kutoka nchini Kenya, Profesa Patrick Loch Lumumba amesema kuwa endapo Rais John Magufuli ataendelea na jitihada za kupambana na ufisadi kwa miaka 10, uchumi wa Tanzania utakuwa juu.
View attachment 524887
Profesa Lumumba amesema hayo jana kwenye Tamasha la Tisa la Kigoda cha Taaluma cha Mwalimu Nyerere, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), alipokuwa akizungumzia mwanasiasa kuinuka na kuanguka barani Afrika.

Amesema rushwa imeondoa afya barani Afrika, wanasiasa wanapoiacha ikawatawala inawaletea shida. Alisema kwa kipindi kifupi Rais Magufuli alipoingia madarakani, ameonesha njia kwa wanasiasa wengine barani Afrika, ambao wamekumbatia rushwa na kuwaacha wananchi.

“Magufuli ana pumzi ya hewa safi, kama ataendelea hivi baada ya miaka 10 uchumi wa Tanzania utakua juu. Mungu msaidie Rais John Magufuli,” amesema Profesa huyo.

Kwa upande mwingine, amesema kuwa Afrika ni bara zuri na lenye uwezo, ila kilichofanyika kwa miaka 30 iliyopita kumekuwa na viongozi wabinafsi, lakini katika miaka ya sasa wameibuka viongozi wazalendo kama Magufuli, Rais Paul Kagame wa Rwanda, Rais Yoweri Museveni na wengineo.

“Viongozi kama hawa wakiungwa mkono na wananchi wazalendo, Afrika itapiga hatua,” alisema. Aliwataka waafrika wajue watambue kuwa umoja ni nguvu utengano ni udhaifu, hivyo ni jambo linalochukua muda mrefu. “Ni jambo lililonifurahisha kuwa Magufuli ametoa mafichoni watu waliohodhi mali zetu kwa muda mrefu na kukubali kulipa. Ni hatua nzuri inastahili kupongezwa,” amesema.
Amechafua alipoweka jina la Yoweri Mseveni. Sina imani na hii habari kama imetoka kinywani mwa Lumumba.
 
Halafu tunaaminishwa eti Tundu Lisu ni Nguli wa Sheria, hata ukiuliza amewahi kuchapisha nini kuhusu Sheria ktk maisha yake hakuna mahali popote isipokuwa blah blha tu kwenye vyombo vya habari na kubwabwaja Bungeni kujifanya anajua kilakitu!
 
Huyu huwa kila mara anamkubali sana mzee wa kukurupuka. Sijui anabembeleza cheo gani ? Sisi wenye nchi tunasema jamaa hafai, yeye kila siku kumsifia.
 
mwambie huyo mwanasheria patrick aache dharau yaani ye anaona baada ya miaka 10 ndo tutakuwa juu c tushaanza kuwa juu kuaanzia muda huu
 
Halafu tunaaminishwa eti Tundu Lisu ni Nguli wa Sheria, hata ukiuliza amewahi kuchapisha nini kuhusu Sheria ktk maisha yake hakuna mahali popote isipokuwa blah blha tu kwenye vyombo vya habari na kubwabwaja Bungeni kujifanya anajua kilakitu!
Hahahaha kubwabwaja!
 
Mwanasheria Nguli kutoka nchini Kenya, Profesa Patrick Loch Lumumba amesema kuwa endapo Rais John Magufuli ataendelea na jitihada za kupambana na ufisadi kwa miaka 10, uchumi wa Tanzania utakuwa juu.
View attachment 524887
Profesa Lumumba amesema hayo jana kwenye Tamasha la Tisa la Kigoda cha Taaluma cha Mwalimu Nyerere, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), alipokuwa akizungumzia mwanasiasa kuinuka na kuanguka barani Afrika.

Amesema rushwa imeondoa afya barani Afrika, wanasiasa wanapoiacha ikawatawala inawaletea shida. Alisema kwa kipindi kifupi Rais Magufuli alipoingia madarakani, ameonesha njia kwa wanasiasa wengine barani Afrika, ambao wamekumbatia rushwa na kuwaacha wananchi.

“Magufuli ana pumzi ya hewa safi, kama ataendelea hivi baada ya miaka 10 uchumi wa Tanzania utakua juu. Mungu msaidie Rais John Magufuli,” amesema Profesa huyo.

Kwa upande mwingine, amesema kuwa Afrika ni bara zuri na lenye uwezo, ila kilichofanyika kwa miaka 30 iliyopita kumekuwa na viongozi wabinafsi, lakini katika miaka ya sasa wameibuka viongozi wazalendo kama Magufuli, Rais Paul Kagame wa Rwanda, Rais Yoweri Museveni na wengineo.

“Viongozi kama hawa wakiungwa mkono na wananchi wazalendo, Afrika itapiga hatua,” alisema. Aliwataka waafrika wajue watambue kuwa umoja ni nguvu utengano ni udhaifu, hivyo ni jambo linalochukua muda mrefu. “Ni jambo lililonifurahisha kuwa Magufuli ametoa mafichoni watu waliohodhi mali zetu kwa muda mrefu na kukubali kulipa. Ni hatua nzuri inastahili kupongezwa,” amesema.
Huyu ni myopic, hajui nini kinaendelea ndani. Amin alianza hivi, watu kama huyo Lumumha wakawa wanamshangilia, mwishowe hali yake halisi imeweka historia ya katili ever,!
 
Barbarosa; you must be obsessed with Tundu Lissu. Hakuna mtu aliyekuaminisha kuwa Lisu ni nguli; badala yake umejiaminisha mwenyewe lakini papo hapo kuna roho umepandikiziwa kujaribu kupingana na kile unachokishudia mwenyewe na kukiamini! Pole.
 
Mwanasheria Nguli kutoka nchini Kenya, Profesa Patrick Loch Lumumba amesema kuwa endapo Rais John Magufuli ataendelea na jitihada za kupambana na ufisadi kwa miaka 10, uchumi wa Tanzania utakuwa juu.
View attachment 524887
Profesa Lumumba amesema hayo jana kwenye Tamasha la Tisa la Kigoda cha Taaluma cha Mwalimu Nyerere, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), alipokuwa akizungumzia mwanasiasa kuinuka na kuanguka barani Afrika.

Amesema rushwa imeondoa afya barani Afrika, wanasiasa wanapoiacha ikawatawala inawaletea shida. Alisema kwa kipindi kifupi Rais Magufuli alipoingia madarakani, ameonesha njia kwa wanasiasa wengine barani Afrika, ambao wamekumbatia rushwa na kuwaacha wananchi.

“Magufuli ana pumzi ya hewa safi, kama ataendelea hivi baada ya miaka 10 uchumi wa Tanzania utakua juu. Mungu msaidie Rais John Magufuli,” amesema Profesa huyo.

Kwa upande mwingine, amesema kuwa Afrika ni bara zuri na lenye uwezo, ila kilichofanyika kwa miaka 30 iliyopita kumekuwa na viongozi wabinafsi, lakini katika miaka ya sasa wameibuka viongozi wazalendo kama Magufuli, Rais Paul Kagame wa Rwanda, Rais Yoweri Museveni na wengineo.

“Viongozi kama hawa wakiungwa mkono na wananchi wazalendo, Afrika itapiga hatua,” alisema. Aliwataka waafrika wajue watambue kuwa umoja ni nguvu utengano ni udhaifu, hivyo ni jambo linalochukua muda mrefu. “Ni jambo lililonifurahisha kuwa Magufuli ametoa mafichoni watu waliohodhi mali zetu kwa muda mrefu na kukubali kulipa. Ni hatua nzuri inastahili kupongezwa,” amesema.

Apewe taarifa huyu mwanasheria kwamba Tz wanaijuwa wenyewe hakuna cha kupongeza., Hadi sasa mwanasheria nguli ni Tundu Lissu
 
Hivi anayejua uzuri au ubaya wa ndoa yake ni jirani au walio katika ndoa = mume na mke.

Hivi kweli huyu ni prof wa darasani au miti shamba maana bora angemsifia JPM tu na sio hao wengine Kagame na M7 wanaoua na kutesa watu wao kila kukicha. Aache kujipendekeza he should do analysis basing on unbiased facts - he should be true to himself. And by the way we know our country better than him.

Hatuitaji mtu wa kutusemea we can speak by ourselves.

Anajifanya kuchukia rushwa wakati alipokuwa mwenyekiti wa tume huko Kenya alionjeshwa akalamba mazima akakimbia mnafiki sana huyu prof. (kinyonga)
 
NABII HAKUBARIKI KWAO SI NDIO??!!
Sii ndio ni hapana Nabii aliBARIKI kwao Ila HAKUBALIKI kwao...pole ila siku nyingine andika kwa herufi ndogo
Ivi niulize...kwa haya ya mchanga siyo kwamba wale waheshimiwa wawili wanaopaswa kuachwa wapumzike ndiyo wamefisadi kuliko ndugu Lowa... wanayemshedadia kuwa fisadi?
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom