Nguli wa mpira wa miguu wa dunia "Pele" ana hali mbaya kutokana na msongo wa mawazo

Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
4,502
23,581
Edson Arantes Nascimento "Pele" ambae ni "TUNU" kwa taifa la brazil na mchezaji pekee alieshinda "WORLD CUP" kwa mara tatu (1958, 1962, 1970) anatambulika kwa wengi kama ndio mchezaji bora ambae hajawahi kutokea katika historia ya mpira wa miguu.

Anapitia wakati mgumu kutokana na "MSONGO WA MAWAZO (DEPRESSION)", kufikia hatua hawezi "KUTEMBEA WALA KUTOKA NJE YA NYUMBA YAKE". Mwanae wa kiume Edinho amesema katika mahojiano na vyombo vya habari kua Baba yake mwenye umri wa miaka 79 "Amedhoofika sana, kupelekea mawazo yanamfanya ashindwe hata kutembea kawaida, hasa akiwaza (Pele) kuwa yeye ni mfalme wa mpira wa miguu na mfano wa kuigwa, hilo jambo linamfanya kuwa na aibu kuonekana mbele ya hadhara".

Mwezi April mwaka jana Pele alilazwa muda mfupi baada ya kuonekana nchini ufaransa (Paris) na mchezaji chipukizi Kylian Mbappe.

Ikumbukwe Pele ni miongoni mwa wanaadamu wanaoishi na Figo (Kidney) moja tu, baada ya kupoteza figo moja wakati akicheza mpira na kuvunjika mbavu ilioharibu figo yake moja.

pele01-703x422.jpeg
pele2-680x453.jpeg


-Binaadamu hatujafa, hatujaumbika. Licha ya vyeo na pesa mwanadamu anazokua nazo, pindi muda ukifika hazitamsaidia.
 
Edson Arantes Nascimento "Pele".

-Binaadamu hatujafa, hatujaumbika. Licha ya vyeo na pesa mwanadamu anazokua nazo, pindi muda ukifika hazitamsaidia.
Ni kwel mkuu pesa siokila kitu LAKINI BORA KUWA NAZO hata jama hazitakusaidia KULIKO KUTOKUA NAZO maana utapata tabu sana.

Hebu imagine na depr4ssion hizo HALIFU ANGEKUA HANA PESA ??? Si tungekua tushamzika??
 
Huyo jamaa anaumwa na umri pia umeenda...anaelekea 80 sasa. Hana shida ya kipato ni ugonjwa tu.

Legendary Brazil forward Pele is reluctant to leave his house because he cannot walk unaided, his son has said.
The three-time World Cup winner, widely regarded as the greatest player of all time, was taken to hospital with a urinary infection last year.

Pele, 79, has had problems with his hip for some time and now needs a frame to walk, with many of his recent public appearances in a wheelchair.
 
Mbona sijaelewa hasa sababu ya kuwa na msongo wa mawazo?maana kinachomfanya ashindwe kutembea au kutoka nje ni huo msongo wa mawazo.

Sababu hasa ya kuwa na msongo wa mawazo ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mgonjwa:
Legendary Brazil forward Pele is reluctant to leave his house because he cannot walk unaided, his son has said.......
His health has been a concern in recent years and he had prostate surgery in 2015 after he was admitted to hospital for the second time in six months.
 
Mbona sijaelewa hasa sababu ya kuwa na msongo wa mawazo?maana kinachomfanya ashindwe kutembea au kutoka nje ni huo msongo wa mawazo.

Sababu hasa ya kuwa na msongo wa mawazo ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
mwanaume.unapofikia 70 HUWA BAADHI yah viungo hupoteza.MWELEKEO WA KUFANYA kazi sawasawa

na udhaifu ule huleta magonjwaa mbalimbali na hapo NDIPO kad iza BIMA zinapofanya kazi ama.ulichojiwekea akiba


ingawa pamoja na akiba hioo UNAWEZA ishia kumaliza akiba YOTE na bado ukaelekea pale kinondon makaburini kama ayajajaa
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom