Ngorongoro: Mapigano kati ya Wamasai na Wasonjo yanaendelea; Ng'ombe zaidi ya 3,000 waporwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngorongoro: Mapigano kati ya Wamasai na Wasonjo yanaendelea; Ng'ombe zaidi ya 3,000 waporwa

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by kiplagati26, Aug 25, 2012.

 1. kiplagati26

  kiplagati26 JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Mapigano yanayoendelea katika wilaya ya Ngorongoro kati ya Wamasai na Wasonjo yamefikia sehemu mbaya, chanzo kikubwa ni kuuliwa kwa kijana wa kisonjo katika kijiji cha Sonjo na hivyo kuzua mapigano makubwa sana mbaka jana tayari kabila ili la wasonjo limeingia mpakani mwa kenya na kuwapokonya wamasai na huku ngombe zaidi ya mia tano 500, Na wamasai wa Tanzania wameweza kuwapolwa ng'ombe zaidi ya 2500.

  Rais kikwete alitoa mgao wa ngombe kwa jamii ya kimasai mwanzoni mwa mwaka huu na mwanzoni mwa mwezi huu wa nane 8 hata hivyo kinachosikitisha ni askari wa jeshi la polisi kuchelewa kuzuia haya mapema kwani hali hii ujitokeza kila mara, shukrani kwa kutumia chopa 2 za jeshi la polisi kutafuta ngombe kwani hali si swali kabisa.

  Kabila la wasonjo ni hatari sana kwani ndio walileta madhara ya 2004 kununua silaha toka kwa wasomali na kusaidiana kuwapokonya chakula na mifungo wamasai rushwa nayo bado inajipenyeza hasa pale mauaji yanapotokea kufanywa na kabila la kisonjo please kesho ni siku ya sensa hali si shwari.

  IGP Mwema shusha askari wa kutosha serikali tunaomba kuchukua hatua za haraka sana iwezekanavyo
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  aisee...
   
 3. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  kenya au tanzania?
   
 4. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 180
  wasonjo ni hatari mno .
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wasonjo ni wakorofi kuliko wakurya
   
 6. K

  KUTATABHETAKULE JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 807
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 80
  Walitoka huko huko Tarime!
   
 7. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee babaangu hayo si mambo yake ukitaka kumsikia Kova ni kwenye chaguzi ndogo ndogo au maandamano ya chadema, anaweza hata asijuwe kama kuna mapigano huko

  ngoja nipige pafu la mbege then nipige 123 naweza mpata
   
 8. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ilikuwa karibu na Ukweli Mkuu licha sijui kama ulimaanisha, hawa jamaa hawaamini kwa Muumba, Mungu wao ni jua na kabla ya kutoweka katika mazingira tatanishi Mungu wao waliyemuamini sana akijulikana kama HAMBAGEU, Imewaacha hawa jamaa wakirithi utamaduni mbaya sana wa kuamini kuwa wao ni bora kuliko kiumbe yeyote.

  Wanaamini Mungu wao atarudi siku moja na ndio itakuwa mwisho wa Dunia. Kwa wale wazee wakisonjo walioshiba imani kila uchwao wao huangalia linakotokea jua mashariki na linapoelekea magharibi pande zote mbili wakiamini ishara kubwa ya kurudi HAMBAGEU ni siku yatakapochomoza majua mawili, moja mashariki na jingine magharibi na yatawaka hivyo huku yakisogea mpaka yakutane na wakati huo binaadam watakuwa wanataabika sana kwa kiu na joto lisilo na mfano, maji atakayotoa HAMBAGEU pekee ndio yatakidhi hitajio.

  Ni simulizi za kutafakari sana ukizifungamanisha na utamaduni uliojaa utukutu wa kabila hili la wasonjo waliogawanyika makundi mawili kutoka eneo la ikoma huko Serengeti mkoani mara na waliobaki huko wanajulikana kama waikoma na waliokimbilia mpakani mwa ngorongoro na serengeti katika kijiji cha Sonjo wakajiita wasonjo chini ya HAMBAGEU.

  Kwa mpenda historia unaweza kumsoma HAMBAGEU zaidi katika server ya UNESCO ujionee mambo.  ADIOS
   
 9. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hongera nimependa
  sana somo lako, kweli Jf
  ni class tosha......

  V
  SENGEREMA
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,104
  Trophy Points: 280
  Jukumu la utatuzi wa mgogoro huu tumpe Dr. Babu. Mchungaji Ambilikile Mwasapile
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,104
  Trophy Points: 280
  Jukumu la utatuzi wa mgogoro huu tumpe Dr. Babu. Mchungaji Ambilikile Mwasapile yeye ana dawa ya kumaliza mizozo ya aina hii
   
 12. kiplagati26

  kiplagati26 JF-Expert Member

  #12
  Aug 25, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  mkuu ni tanzania kwa JK Kifupi kijiji cha sonjo kipo km 50 toka mji wa wasso ambayo ni makao makuu ya wilaya na km 10 mbele samunge kwa babu kijiji cha sonjo kimepakana na mipaka ya wilaya ya Narro kenya
   
 13. kiplagati26

  kiplagati26 JF-Expert Member

  #13
  Aug 25, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  ah ah Mkuu Rombo wanajisahau lkn uchaguzi duuu wanapewa mafunzo kwa muda miezi 4 tuu wanelekwa kuwasubu wanachadema ah ah pafu la mbege na kisusio basi usinikose
   
 14. kiplagati26

  kiplagati26 JF-Expert Member

  #14
  Aug 25, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35


  Babu ataweza,hata kova nill kwani hata tamuthilia ya Dr ulimboka kashindwa its better tumpe mzee mwenyewe IGP Mwema lakini hawa jamaa wasonjo ni noma yani ni waya waya wa umeme.
   
 15. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #15
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Duh! Hii ni noma!
   
Loading...