Ngono(sex) mashindano yasiyokuwa na mshindi

Principal Focus

JF-Expert Member
Jan 4, 2013
923
547
Ngono ni mashindano yasiyokuwa na mshindi.

Mashindano ambayo wengine hutumia dakika tano wengine zaidi ya masaa matatu lakini baada ya kupizi ndio mwisho wa safari.

Wengine hufanya kwa ushindani na mtu, huku wengine hufanya kutokana na shinikizo ambalo pengine la pesa au kuonyesha upendo kwa mtu.

Ila yote hayo ni mashindano yasiyokuwa na mshindi maana leo utajihisi umemaliza mbio lakini kesho pia itabidi ujitume zaidi ya leo ili uonekane bora.

Wasiokomaa kiakili hushinda ili kuonekana wajanja zaidi ya wenzao kwa kubadili kila aina na kusahau mbeleni kuna majuto, huenda ikawa kujutia kupata ugonjwa ama kujutia kutengana na mtu umpendaye au hata kusababisha kifo na kutatuliwa marinda.

Kwa ulimwengu wa sasa wa teknolojia ndio mashindano yameongezeka mpaka kupeleke wengine kufanya ngono na mama zao, dada zao, kaka zao, baba zao, hata kupelekea wengine kulelewa ili waonekane wapo katika ulimwengu wa kisasa. Pia wapo waliotolewa marinda si waume kwa wake, japo wapo waliopenda kwa nafsi zao na wengine kwa kulazimishwa kutoka na mazingira aliyopo.

Kuna wengine huenda mbali zaidi hadi kufanya na jinsia sawa na wao wake kwa wake na waume kwa waume, bila kusahau na wale wa kujichua ili kuingia katika shindano lisilokuwa na mshindi.

Leo utatoka na huyo utasema ana bwawa/kibamia, kesho utatoka na yule utasema anamnato/mashine lakini kipi kinaweka tofauti? Jibu ni hakuna, kwakuwa hamu ipo kila siku na shindalo lipo kila siku hata ubadilishe au usipobadilisha mwisho baada tu ya kupizi majuto huja.

Kujutia kwa nini nilifanya hiki ama kwanini ilikuwa vile, hivyo kuwa makini na njia unazoanza kuchagua. Kubadilisha ladha hakukufanyi uonekane wa kisasa bali limbukeni wa ngono.

For the records hakuna aliyewahi kushinda tunzo ya ngono bora.
 
Je mimi Juma maharage...hii tuzo amuwez kunipa maana nimefany ...mpaka nimempa ...mke wa mtu Mimba mpaka amenizaria.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom