Ngome ya Chadema yazidi kusambaratika Sengerema

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
295
679
1569479988795.png
Aliyekuwa mgombea Udiwani kupitia Chama Cha Chadema Kata ya Chifunfu mwaka 2015 Malebo Ntalano pamoja na Mwenyekiti wa Bawacha, Riziki Juma amekihama chama hicho na kujiunga na CCM na kuisambalatisha ngome hiyo ambayo ilikuwa mwiba kwa CCM.

Amesema kuhama kwake Chadema kumetokana Rais kutimiza waliyokuwa wakiyatafuta wakati wakiwa chadema hivyo hakuna haja yakuwa Chadema tena.

''Nimeondoka Chadema na siludi tena sasa CCM ndiyo sehemu sahihi miradi inatekelezeka alisema Ntalano.

Ntalano alisema.baada ya kuhama yeye amehama na zaidi ya wanachama 30 wa chadema ambao nao wamehamia chamacha mapinduzi.

Kwa upande wake Aliyekuwa mwenyekiti wa Bawacha kata ya Chifunfu Riziki Juma alisema kuwa kuhamia kwake CCM alichagua mahali.salama na penye heshima hivyo atafanya kazi kwa Uhuru na amani.

Katibu wa CCM tawi la Chifunfu Julias Mngele amekili kuwapokea wanachama hao na kukili wazi kuwa kuhama kwao CCM kumewapunguzia kazi kwenye uchaguzi bwa serikali za mitaa kwa kuwa wao walikuwa ni kikwazo Cha ushindi wa CCM.

Viongozi mbalimbali na wanachama wa Chadema wamekuwa. wakikihama chama hicho na kujiunga na CCM akiwemo diwani wa Kata ya Nyampulukano Emmanuel Munwazi na chama hicho kuwa kimekosa nguvu wilayani sengerema.
 
Wewe jamaa unaonekana ni kituko kweli tangu lini CHADEMA ikawa na ngome hapo Sengerema?
 
Salama wana bodi.

Kufuatia ukiukwaji mkubwa wa katiba ya chama na misingi ya kidemokrasia nchini na mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe ,wapenda mabadiliko wote tuungane na kumpindua haraka sana ili kulinda heshima ya utamaduni wa chama chetu kuachiana madaraka.

Freeman Mbowe ameunda genge la kumtetea na kujaribu kuonyesha kwamba hakuna mwingine kama Mbowe Chadema. Hili halikubaliki na lazima afuate katiba ya chama kwa kuitisha uchaguzi au apinduliwe kwa lazima.
 
View attachment 1216294 Aliyekuwa mgombea Udiwani kupitia Chama Cha Chadema Kata ya Chifunfu mwaka 2015 Malebo Ntalano pamoja na Mwenyekiti wa Bawacha, Riziki Juma amekihama chama hicho na kujiunga na CCM na kuisambalatisha ngome hiyo ambayo ilikuwa mwiba kwa CCM.

Amesema kuhama kwake Chadema kumetokana Rais kutimiza waliyokuwa wakiyatafuta wakati wakiwa chadema hivyo hakuna haja yakuwa Chadema tena.

''Nimeondoka Chadema na siludi tena sasa CCM ndiyo sehemu sahihi miradi inatekelezeka alisema Ntalano.

Ntalano alisema.baada ya kuhama yeye amehama na zaidi ya wanachama 30 wa chadema ambao nao wamehamia chamacha mapinduzi.

Kwa upande wake Aliyekuwa mwenyekiti wa Bawacha kata ya Chifunfu Riziki Juma alisema kuwa kuhamia kwake CCM alichagua mahali.salama na penye heshima hivyo atafanya kazi kwa Uhuru na amani.

Katibu wa CCM tawi la Chifunfu Julias Mngele amekili kuwapokea wanachama hao na kukili wazi kuwa kuhama kwao CCM kumewapunguzia kazi kwenye uchaguzi bwa serikali za mitaa kwa kuwa wao walikuwa ni kikwazo Cha ushindi wa CCM.

Viongozi mbalimbali na wanachama wa Chadema wamekuwa. wakikihama chama hicho na kujiunga na CCM akiwemo diwani wa Kata ya Nyampulukano Emmanuel Munwazi na chama hicho kuwa kimekosa nguvu wilayani sengerema.
Waende tu kwenda Lowassa itakuwa wao Chadema ipo sana
 
Back
Top Bottom