Ngome SACCOS aptitude test

Kitotonya

Kitotonya

Senior Member
Joined
Dec 9, 2011
Messages
188
Points
195
Kitotonya

Kitotonya

Senior Member
Joined Dec 9, 2011
188 195
Habari wana JF,
Ngome saccos wameita watu kwenye aptitude test kwa mwenye uzoefu na hawa jamaa anijuze tafadhali.
 
U

usawa wa kulia

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2014
Messages
455
Points
0
Age
35
U

usawa wa kulia

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2014
455 0
unajua mchakamchaka, mwendo wa haraka, wa pole, nyakuanyakua,silaha
 
Makylina

Makylina

Senior Member
Joined
Dec 15, 2014
Messages
143
Points
225
Makylina

Makylina

Senior Member
Joined Dec 15, 2014
143 225
Aisee na Mimi nmetumiwa msg niende dar tarehe 20 saa 4:30 asbh ila cjui lolote kuhusu hawa jamaa wa Ngome
 
Makylina

Makylina

Senior Member
Joined
Dec 15, 2014
Messages
143
Points
225
Makylina

Makylina

Senior Member
Joined Dec 15, 2014
143 225
You are invited to sit for aptitude test on 20 June 2015 which will be held at University of Dar es Salaam UDBS-2, BLOCK C.
Wadau wengine dar ni wageni hivyo hili eneo linapatikana vipi?
 
Aqua

Aqua

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2012
Messages
1,467
Points
2,000
Aqua

Aqua

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2012
1,467 2,000
You are invited to sit for aptitude test on 20 June 2015 which will be held at University of Dar es Salaam UDBS-2, BLOCK C.
Wadau wengine dar ni wageni hivyo hili eneo linapatikana vipi?
Chuo kikuu cha Dar es salaam kiko maeneo ya Ubungo,panda gari za kwenda chuo kikuu shuka utawala,UDBS-University of Dar es Salaam Business School hili jengo liko jirani na CRDB Bank iliyopo chuo kikuu .
 
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2007
Messages
20,562
Points
2,000
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2007
20,562 2,000
Mbona walitangaza nafasi za kazi na watu waliomba wengi tu vip wewe uosikie leo mkuu

kazi za kipumbafu kabisa zile uliomba...hivi nyie miafrika mukoje? mnawaza kuajiriwa tu ...mxxxx
 
Makylina

Makylina

Senior Member
Joined
Dec 15, 2014
Messages
143
Points
225
Makylina

Makylina

Senior Member
Joined Dec 15, 2014
143 225
Chuo kikuu cha Dar es salaam kiko maeneo ya Ubungo,panda gari za kwenda chuo kikuu shuka utawala,UDBS-University of Dar es Salaam Business School hili jengo liko jirani na CRDB Bank iliyopo chuo kikuu .
Thanks mkuu
 
Forum statistics

Threads 1,283,909
Members 493,869
Posts 30,805,732
Top