Ngome kuu ya ACT Wazalendo kuhamia Zanzibar, kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi 2020

Chifyono

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
921
1,658
Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli kiukweli imevuruga vyama vya upinzani kiasi kwamba vyama hivi visipozichanga vizuri zinaweza kupotezwa na Tanzania kutudi katika mfumo wa chama kimoja kama ilivyokuwa kabla ya 1992.

Uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA ndio chama kilikua kikuu cha upinzani na kiliitikisa CCM vilivyo na hii ilikuja baada ya Lowassa kuhamia katika chama hiko.

Kwa 2020 tumeshuhudia mabadiliko makubwa, zaidi Maalim Seif kaungana na Zitto Kabwe kupitia ACT Wazalendo hii imeipa nguvu kubwa ACT kwa upande wa Tanzania Zanzibar.

Baada ya 2020 ngome ya ACT itahama kutoka kigoma mpaka Zanzibar na kuwa chama kikuu cha upinzani hapa nchini.

Kwani kwa Zanzibar Act imekuwa mbadala wa CUF, huku bara ACT imeota mizizi na itashinda majimbo mengi kuwashinda CHADEMA kwani muda wao mwingi wanautumia kurumbana tu pasipo kuleta maendeleo katika majimbo waliyopewa dhamana.

Kwa hapa Dar es salaam kuna jimbo litakwenda ACT hii nadokeza tu.

Kambi ya upinzani bungeni naiona ikiongozwa na Mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe.

Ushauri: Zitto tulia huu ndio muda wako kujijenga kisiasa ufaidi mema ya kuanzisha ACT achana na siasa kama za wakina Mbowe wewe piga hoja kuntu zenye takwimu Watanzania tunakuelewa.
 
Bado hujaijua CCM ya Magufuli, kilichotokea kwenye chaguzi za serekali ya mitaa ndicho kitakachoendelea mpaka kwenye uchaguzi mkuu 2020,Zitto mwenyewe kwenye uchaguzi wa mwaka huo jimbo lake la Kigoma litaporwa na CCM mpya, na kama Zitto atapata ubunge wa Kigoma basi uchaguzi utakuwa ni wakidemokrasia na CHADEMA ndiyo itakayo kuwa magogoni ACT kitakuwa chama kikuu cha upinzani wakati huo CCM watakuwa wamejiajiri kwa kukata nyasi za kulishia mifugo yao.
 
we unaota!
Zitto hawezi pokwa jimbo na atapita kwa kishindo
Bado hujaijua CCM ya Magufuli, kilichotokea kwenye chaguzi za serekali ya mitaa ndicho kitakachoendelea mpaka kwenye uchaguzi mkuu 2020,Zitto mwenyewe kwenye uchaguzi wa mwaka huo jimbo lake la Kigoma litaporwa na CCM mpya, na kama Zitto atapata ubunge wa Kigoma basi uchaguzi utakuwa ni wakidemokrasia na CHADEMA ndiyo itakayo kuwa magogoni ACT kitakuwa chama kikuu cha upinzani wakati huo CCM watakuwa wamejiajiri kwa kukata nyasi za kulishia mifugo yao.
 
Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli kiukweli imevuruga vyama vya upinzani kiasi kwamba vyama hivi visipozichanga vizuri zinaweza kupotezwa na Tanzania kutudi katika mfumo wa chama kimoja kama ilivyokuwa kabla ya 1992
Uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA ndio chama kilikua kikuu cha upinzani na kiliitikisa CCM vilivyo na hii ilikuja baada ya Lowasa kuhamia katika chama hiko

Kwa 2020 tumeshuhudia mabadiliko makubwa, zaidi Maarim Seif kaungana na Zitto Kabwe kupitia ACT wazalendo
hii imeipa nguvu kubwa ACT kwa upande wa Tanzania Zanzibar
Baada ya 2020 ngome ya ACT itahama kutoka kigoma mpaka Zanzibar na kuwa chama kikuu cha upinzani hapa nchini

Kwani kwa Zanzibar Act imekuwa mbadala wa CUF, huku bara ACT imeota mizizi na itashinda majimbo mengi kuwashinda CHADEMA kwani muda wao mwingi wanautumia kurumbana tu pasipo kuleta maendeleo katika majimbo waliyopewa dhamana
Kwa hapa Dar es salaam kuna jimbo litakwenda ACT hii nadokeza tu

Kambi ya upinzani bungeni naiona ikiongozwa na mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe

Ushauri, Zitto tulia huu ndio muda wako kujijenga kisiasa ufaidi mema ya kuanzisha ACT wachana na siasa kama za akina mbowe wewe piga hoja kuntu zenye takwimu watanzania tunakuelewa
Kwa hiyo lengo siyo.kuitoa ccm madarakani lengo lao ni kumtoa Mbowe KUB,

Nasikitika sana hii nchi imejaa vijanawapumbafu
 
Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli kiukweli imevuruga vyama vya upinzani kiasi kwamba vyama hivi visipozichanga vizuri zinaweza kupotezwa na Tanzania kutudi katika mfumo wa chama kimoja kama ilivyokuwa kabla ya 1992
Uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA ndio chama kilikua kikuu cha upinzani na kiliitikisa CCM vilivyo na hii ilikuja baada ya Lowasa kuhamia katika chama hiko

Kwa 2020 tumeshuhudia mabadiliko makubwa, zaidi Maarim Seif kaungana na Zitto Kabwe kupitia ACT wazalendo
hii imeipa nguvu kubwa ACT kwa upande wa Tanzania Zanzibar
Baada ya 2020 ngome ya ACT itahama kutoka kigoma mpaka Zanzibar na kuwa chama kikuu cha upinzani hapa nchini

Kwani kwa Zanzibar Act imekuwa mbadala wa CUF, huku bara ACT imeota mizizi na itashinda majimbo mengi kuwashinda CHADEMA kwani muda wao mwingi wanautumia kurumbana tu pasipo kuleta maendeleo katika majimbo waliyopewa dhamana
Kwa hapa Dar es salaam kuna jimbo litakwenda ACT hii nadokeza tu

Kambi ya upinzani bungeni naiona ikiongozwa na mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe

Ushauri, Zitto tulia huu ndio muda wako kujijenga kisiasa ufaidi mema ya kuanzisha ACT wachana na siasa kama za akina mbowe wewe piga hoja kuntu zenye takwimu watanzania tunakuelewa
Kila kitu kinawezekana lakini kama wananchi wataamua kutetea haki yao.

Vinginevyo tutabaki kumtaja Mungu tu.

Ili upate ushindi maaali popote pasipo na demockrasia lazima nguvu za umma zitumike.

Kinyume cha hapo tutaishia kusema ......"Mungu anaona dhuruma zao"

Mungu kakupa afya, pumzi nguvu. Unataka nini sasa!

Ukiona haki yako inaporwa PAMBANA.
 
Bado hujaijua CCM ya Magufuli, kilichotokea kwenye chaguzi za serekali ya mitaa ndicho kitakachoendelea mpaka kwenye uchaguzi mkuu 2020,Zitto mwenyewe kwenye uchaguzi wa mwaka huo jimbo lake la Kigoma litaporwa na CCM mpya, na kama Zitto atapata ubunge wa Kigoma basi uchaguzi utakuwa ni wakidemokrasia na CHADEMA ndiyo itakayo kuwa magogoni ACT kitakuwa chama kikuu cha upinzani wakati huo CCM watakuwa wamejiajiri kwa kukata nyasi za kulishia mifugo yao.
Wewe ndo tahira kweli ,watathubutuje uchaguzi mkuu ,rais, wabunge na madiwan.hujui ujinga waliofanya Zanzibar ndiyo unaompelekea magu ugumu kuendeleza miradiyake anayotaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hujaijua CCM ya Magufuli, kilichotokea kwenye chaguzi za serekali ya mitaa ndicho kitakachoendelea mpaka kwenye uchaguzi mkuu 2020,Zitto mwenyewe kwenye uchaguzi wa mwaka huo jimbo lake la Kigoma litaporwa na CCM mpya, na kama Zitto atapata ubunge wa Kigoma basi uchaguzi utakuwa ni wakidemokrasia na CHADEMA ndiyo itakayo kuwa magogoni ACT kitakuwa chama kikuu cha upinzani wakati huo CCM watakuwa wamejiajiri kwa kukata nyasi za kulishia mifugo yao.
Wewe ndo tahira kweli ,watathubutuje uchaguzi mkuu ,rais, wabunge na madiwan.hujui ujinga waliofanya Zanzibar ndiyo unaompelekea magu ugumu kuendeleza miradiyake anayotaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli kiukweli imevuruga vyama vya upinzani kiasi kwamba vyama hivi visipozichanga vizuri zinaweza kupotezwa na Tanzania kutudi katika mfumo wa chama kimoja kama ilivyokuwa kabla ya 1992.

Uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA ndio chama kilikua kikuu cha upinzani na kiliitikisa CCM vilivyo na hii ilikuja baada ya Lowassa kuhamia katika chama hiko.

Kwa 2020 tumeshuhudia mabadiliko makubwa, zaidi Maalim Seif kaungana na Zitto Kabwe kupitia ACT Wazalendo hii imeipa nguvu kubwa ACT kwa upande wa Tanzania Zanzibar.

Baada ya 2020 ngome ya ACT itahama kutoka kigoma mpaka Zanzibar na kuwa chama kikuu cha upinzani hapa nchini.

Kwani kwa Zanzibar Act imekuwa mbadala wa CUF, huku bara ACT imeota mizizi na itashinda majimbo mengi kuwashinda CHADEMA kwani muda wao mwingi wanautumia kurumbana tu pasipo kuleta maendeleo katika majimbo waliyopewa dhamana.

Kwa hapa Dar es salaam kuna jimbo litakwenda ACT hii nadokeza tu.

Kambi ya upinzani bungeni naiona ikiongozwa na Mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe.

Ushauri: Zitto tulia huu ndio muda wako kujijenga kisiasa ufaidi mema ya kuanzisha ACT achana na siasa kama za wakina Mbowe wewe piga hoja kuntu zenye takwimu Watanzania tunakuelewa.
OP
 
Naunga mkono hoja
P
 
Kwa siku za karibuni kumekuwa na nyuzi nyingi za kipropaganda zikijaribu kuhadaa vyama vya upinzani kuwa ccm inakubalika sana, na eti ccm chini ya Magufuli itashinda sana kwenye uchaguzi ujao. Zaidi ya hapo wanajaribu kuonyesha kuwa ACT ndio itakuwa chama kikuu cha upinzani na cdm itapoteza nafasi hiyo. Kwa mantiki hiyo inafanywa ionekane ccm haina mshindani, bali ushindani ni kwenye nafasi ya chama kikuu cha upinzani, na nafasi hiyo wataipata ACT tena kupitia viti vya Zanzibar.

Kwanza ifahamike hiyo 2020 hakuna uchaguzi, bali uchaguzi huo itakuwa sehemu ya kuonea ujinga wa mwafrika inapokuja sehemu ya kupatia madaraka. Inafahamika sasa hivi chini ya Magufuli hakuna uchaguzi bali ukatili na uhayawani wa wazi. Halafu hiyo ACT acha tu kuwa chama kikuu cha upinzani, hata ikiwa chama tawala huko Zanzibar, mambo yote yanaamuliwa huku bara. Kwenye bunge ambalo ni mateka wa rais, hata uwe chama kikuu cha upinzani bado maamuzi hayafanywi na bunge bali bunge hutumika tu kutimiza atakacho rais.

Ni vyema tukajikita kuhakikisha inapatikana tume huru ya uchaguzi hiyo 2020 na sio huu ushenzi unaoendelea hivi sasa chini ya awamu hii. Na huu ujinga wa kugeuza eti kwenye uchaguzi huo ccm imeshashinda, na nafasi iliyobaki ni ya chama kikuu cha upinzani baina ya ACT na cdm. Sisi wapiga kura tumepuuza uchaguzi huu unaendelea ndani ya mazingira haya, hivyo vyama vinapata wapi uhalali wa kugawana nafasi?
 
Zittos party ACT haina nguvu kwa CUF ya Maalim Seif.Je nani anajua kama CUF ya Lipumba na CUF ya Maalim Seif watamaliza migogoro yao kwani wanajuana kwa vilemba.
Zitto kama yeye ajenge ACT kwanza kutegemea cha jirani hufa hali masikini.
 
Bila tume huru ya uchaguzi na bila mabadiliko ya katiba hatutapiga kura. Itakuwa kama Algeria, wanasiasa mmutufanya matorori, serikali za mitaa mmewaachia hawa kijani na huku mtaani hakuna kinachofanyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..CCM inaweza kuvuruga uchaguzi huku Tanganyika.

..lakini sidhani kama safari hii wataweza kumpora Maalim Seif ushindi wake.

..Maalim Seif alikuwa anahitaji kuungana na mwanasiasa imara toka Tanganyika na amempata Zitto Kabwe.
 
Back
Top Bottom