Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli kiukweli imevuruga vyama vya upinzani kiasi kwamba vyama hivi visipozichanga vizuri zinaweza kupotezwa na Tanzania kutudi katika mfumo wa chama kimoja kama ilivyokuwa kabla ya 1992.
Uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA ndio chama kilikua kikuu cha upinzani na kiliitikisa CCM vilivyo na hii ilikuja baada ya Lowassa kuhamia katika chama hiko.
Kwa 2020 tumeshuhudia mabadiliko makubwa, zaidi Maalim Seif kaungana na Zitto Kabwe kupitia ACT Wazalendo hii imeipa nguvu kubwa ACT kwa upande wa Tanzania Zanzibar.
Baada ya 2020 ngome ya ACT itahama kutoka kigoma mpaka Zanzibar na kuwa chama kikuu cha upinzani hapa nchini.
Kwani kwa Zanzibar Act imekuwa mbadala wa CUF, huku bara ACT imeota mizizi na itashinda majimbo mengi kuwashinda CHADEMA kwani muda wao mwingi wanautumia kurumbana tu pasipo kuleta maendeleo katika majimbo waliyopewa dhamana.
Kwa hapa Dar es salaam kuna jimbo litakwenda ACT hii nadokeza tu.
Kambi ya upinzani bungeni naiona ikiongozwa na Mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe.
Ushauri: Zitto tulia huu ndio muda wako kujijenga kisiasa ufaidi mema ya kuanzisha ACT achana na siasa kama za wakina Mbowe wewe piga hoja kuntu zenye takwimu Watanzania tunakuelewa.