INAUZWA Tunauza ng'ombe bora wa maziwa

huyu jamaa sidhan kama yupo serious na kitu anachofanya. nimemtafuta kama mara tatu lkn zote aliishia kunipa ahadi za kunitafuta mpaka leo kimya. nadhan ana kitu kingine anachokifanya lkn sio hii biashara aliyoitangaza hapa labda aje kuniprove wrong!!!
 
Matapeli wa JF
 
N'gombe Bora wasiliana nasi kwa
Phone number #0759926750
FB_IMG_1633537422157.jpg
FB_IMG_1634282842659.jpg
FB_IMG_1634282991781.jpg
FB_IMG_1634282791070.jpg
FB_IMG_1634144457593.jpg
 
Weka maelezo zaidi tuuelewe huo ubora wake basi. Maana hapo uhlivyoandika sio kama mzalishaji wa hao ng'ombe ila ni kama dalali anayevizia mteja toka kona yoyote ili akamtafutie ng'ombe 😃😃

1.Wanasurvive kwenye hali ya hewa ya aina gani
2.Uzalishaji wake wa maziwa
3.Matunzo yake
4.Wanakopatikana
Nk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom