H Howt Lady JF-Expert Member Jul 15, 2013 1,519 470 Dec 18, 2013 #22 mamie nimechelewa kuingia humu sijui nitawapata ama nishawahiwa? nawataka hao ngombe wote watano tatizo niko Dar es salaam sijui utanisaidiaje kuhusu usafiri Coast yake si itakua kubwa sana!!
mamie nimechelewa kuingia humu sijui nitawapata ama nishawahiwa? nawataka hao ngombe wote watano tatizo niko Dar es salaam sijui utanisaidiaje kuhusu usafiri Coast yake si itakua kubwa sana!!
CHE GUEVARA-II JF-Expert Member Jun 17, 2010 571 156 Dec 19, 2013 #23 Mkuu, nimekutumia PM. Please, inahusika sana!