NG'OMBE BORA WA MAZIWA WANAUZWA (Product za Kituro)

Salama salimini

Senior Member
Dec 2, 2013
191
38
Ninauza ng'ombe bora wa maziwa (product za kituro) kwa bei ya jumla Tsh. 900,000/- kwa kila mmoja.

  • Ng'ombe wako watano na wote wanakamuliwa na wana mimba kati ya miezi mitatu na minne.
  • Wanatoa lita sita - mpaka tisa kwa mkamuo (Ni ng'ombe wazuri - naambatanisha picha)

Sababu za kuwauza
  • Kazi yangu ni ya kusafiri-safiri na hivyo ng'ombe wanakosa matunzo kiasi cha production kushuka.

  • NB: Bei hii ni kwa atakayechukua wote kama ni reja-reja basi bei yake itakuwa ni 1M kwa kila ng'ombe.

Mahali walipo:

  • Mbeya mjini.
 
Attachments

  • picha 052.jpg
    picha 052.jpg
    634.2 KB · Views: 1,286
  • picha 025.jpg
    picha 025.jpg
    878 KB · Views: 1,627
  • picha 030.jpg
    picha 030.jpg
    668.4 KB · Views: 1,224
  • picha 038.jpg
    picha 038.jpg
    1.1 MB · Views: 1,096
product za kituro ndo nini?

wanauwezo wa kutoa maximum lita ngapi?

Sorry I got carried with an assumption kuwa wafugaji wa ng'ombe bora wanajua ranch na sehemu wanapopatikana ng'ombe bora
A%20S%2039.gif
... kitulo is one of those centers boss.

The rest of the details are already there - just go through it b/c I made sure to capture all the necessary information that you would require sir.
 
Ng,ombe wazuri sana bila shaka utapata Mfugaji anaeelewa nini maana ya Ufugaji.
 
Ninauza ng'ombe bora wa maziwa (product za kituro) kwa bei ya jumla Tsh. 900,000/- kwa kila mmoja.

  • Ng'ombe wako watano na wote wanakamuliwa na wana mimba kati ya miezi mitatu na minne.
  • Wanatoa lita sita - mpaka tisa kwa mkamuo (Ni ng'ombe wazuri - naambatanisha picha)

Sababu za kuwauza
  • Kazi yangu ni ya kusafiri-safiri na hivyo ng'ombe wanakosa matunzo kiasi cha production kushuka.

  • NB: Bei hii ni kwa atakayechukua wote kama ni reja-reja basi bei yake itakuwa ni 1M kwa kila ng'ombe.

Mahali walipo:

  • Mbeya mjini.

Mkuu, wakipata chakula kizuri wakashiba wanaweza kutoa lita ngapi kwa mkamuo 1, maana naona kwa mwonekano wako safi.
 
Ng,ombe wazuri sana bila shaka utapata Mfugaji anaeelewa nini maana ya Ufugaji.

Asante kaka, unachosema ni kweli; na unajua niliwachukua kwa bei ya juu zaidi ya ninayowauzia kabla sijapata kazii hii ambayo inanikeep mbali na nyumbani. Ni biashara nzuri sana ambayo nilikuwa inspired kupitia humu JF(Jukwaa la biashara na uchumi).
 
Pamoja na hayo.
Member,s atakayewapata hawa ng,ombe hakika hatajutia kamwe, Sababu ngo,mbe wote hawa wameshakua. miezi michache ataanza kuvuna,
Labda nikuulize swali moja.
Ngombe wako wamezaa mara ngapi??
 
Naomba namba yako, Ni Pm tafadhali, kama wakiwepo mpaka next week nitawachukua wote.
 
Wangekuwa Dar ningekuungisha 2...ama unaweza kuwasafirisha?

Hello Marshal,

Usafiri ambao ninautumia kwaa ajili kufuata hay na forages (Ambao pia nitautangaza hapa soon) unaweza kubeba hardly ng'ombe mmoja. Labda kama uta-nitask nikutafutie usafiri huku at your own cost.
 
Pamoja na hayo.
Member,s atakayewapata hawa ng,ombe hakika hatajutia kamwe, Sababu ngo,mbe wote hawa wameshakua. miezi michache ataanza kuvuna,
Labda nikuulize swali moja.
Ngombe wako wamezaa mara ngapi??

Wawili(2) wamezaa mara moja-moja.
Mmoja(1) kazaa mara mbili,
na wawili(2) wamezaa mara tatu.
Wote wana ndama majike so pia kuna ndama watano majike.
 
Mkuu, wakipata chakula kizuri wakashiba wanaweza kutoa lita ngapi kwa mkamuo 1, maana naona kwa mwonekano wako safi.

Kwa ng'ombe watano walikuwa wanatoa lita 45-47 kwa mkamuo. Lkn pia hapakuwa na mtu wa kuwasimamia zaidi ya kijana wa ng'ombe. Unanunua hay za ng'ombe kijana anauza kwa mfugaji wa jirani - unamfukuza na kuleta mwingine. Ukiangalia hali hiyo unagundua pdn ilipaswa kuwa zaidi ya hapo.
 
Hello Marshal,

Usafiri ambao ninautumia kwaa ajili kufuata hay na forages (Ambao pia nitautangaza hapa soon) unaweza kubeba hardly ng'ombe mmoja. Labda kama uta-nitask nikutafutie usafiri huku at your own cost.

Mkuu Salama cost ya usafiri itakuwa kubwa sana,anyway nitajipanga vizuri next time Tutaungishana....Usichoke kuturushia kama watakuwepo...
 
Mkuu,

Ng'ombe wako ni specie bora sana, yaani kwa mfugaji mzoefu akiwaangalia tuu anajua. Bila ya shaka utapata mteja - All the best!
 
Back
Top Bottom