eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,178
Burudika kidogo na ngoma zilizowahi kusumbua bongo
Hakika mpaka Leo nasubiri ngoma nyingine Kali kama hii kwenye miondoko hii kutoka kwake.Moja kati ya kazi nzuri sana kuwahi kufanywa na Kiba.
Mbali na kuimba pia Kiba huwa ananifurahisha namna anavyotumia lugha ya Kiswahili vizuri kufikisha ujumbe.
Na yenyewe ilitamba sanaWeka she got gwan ya ngwair
Miondoko hii anaiwezea sana huyu jamaa, nasubiri kingine kikali kama hikiThat's King
kweli kabisa tutegemee kwani hii ni moja ya miondoko yake pendwa....ile ngoma ya Yamoto band (yamoto) ni copy ya hii nyimboMiondoko hii anaiwezea sana huyu jamaa, nasubiri kingine kikali kama hiki
Ngoma kali sana hiyo mara kibao nikiwa naisikiliza huwa naiweka ijirudie.
Burudika kidogo na ngoma zilizowahi kusumbua bongo
Ngoma kali sana hiyo mara kibao nikiwa naisikiliza huwa naiweka ijirudie.
Burudika kidogo na ngoma zilizowahi kusumbua bongo
Kweli mkuu waliiga humuhumukweli kabisa tutegemee kwani hii ni moja ya miondoko yake pendwa....ile ngoma ya Yamoto band (yamoto) ni copy ya hii nyimbo
Kwenye miondoko hii bado sijamuona, ila moja kati ya ngoma zake Kali za hivi karibuni na Kadogo, ile Kadogo kaitendea hakisiku hizi kawa farabu mno.....
Ngoma yoyote ya kifo unaisikia MTU akifa tu, lakini ngoma kama dushelele inaishi wakati woteHakuna iliyotamba na itakayozidi kutamba kama “Kifo” wa Remy Ongala.ukitaka kuamini ngoja mtu akate umeme utakuja hapa kusema.
Mvumo wa radiHakika mpaka Leo nasubiri ngoma nyingine Kali kama hii kwenye miondoko hii kutoka kwake.
Mkuu inaelekea haujawahi kuskiza ngoma moja inaitwa HAKUNAGA, baba lile biti tu ni raha tupuu
Haijafikia dushelele mkuuMvumo wa radi