Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,316
- 33,112
baiskeli......
Hiyo inaitwa wheelbarrow style( kitoroli) sio baiskeli bwanaaa hahahaa
Makonda yupo dsm hapa hapa.. Wanaofunga miziki mikubwa wanapewa vibali na serikali za mitaaMie leo sijalala huku Yombo yaani mziki unapigwa tokea jana saa tisa mpaka muda kunakucha na hakuna hata dalili ya kuzimwa. Mtu anafunga sound system kubwa ambayo ina uwezo wa kupiga mziki kwenye uwanja mpya wa taifa huku kwenye makazi ya watu na anapiga mziki mpaka anakesha hakuna mtu wa kumuuliza. Wahusika wako busy wanasumbua wamiliki wa mabaa ambao at least wanalipa kodi kwamba ikifika saa sita mziki uzimwe. Hii ni double standards ingawa too many wrongs won't make right ,hii miziki iwe vigodoro ama ya kwenye mabaa need to stop kwa muda uliyo pangwa ili watu tuweze kulala na kupata utulivu wa mwili na akili.
Naskia yuko busy kuna pambano anajiandaa nalo la boxing.Makonda yupo dsm hapa hapa