Ngoma za vigodoro zapigwa marufuku jijini dar es salaam bora zipigwe marufuku

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,315
33,110
10299183_874109239269634_8564184955930455577_n.jpg
 
Bora. Ukiingia youtube ukiandika Kigodoro kuna video moja itakuja ya kigodoro inatisha. Nimeshindwa iweka hapa natumia cha tochi.Majimama yanacheza uchi wa mnyama! Tena kuna mpaka watoto wa shule wanaangalia. This is too much.Dah,utadhani ni nchi isiyo na sheria
 
Kama kweli zimepigwa marufuku ni habari njema. Kwanza wanasumbua watu kwa kelele usiku maana ni ngoma mpaka alfajiri, pili maadili (matusi ya ma DJ na ufuska waume kwa wake/vijana), tatu uharifu-baadhi wanatumia huu mwanya kufanya uharifu ndani ya jamii husika.
 
Mie leo sijalala huku Yombo yaani mziki unapigwa tokea jana saa tisa mpaka muda kunakucha na hakuna hata dalili ya kuzimwa. Mtu anafunga sound system kubwa ambayo ina uwezo wa kupiga mziki kwenye uwanja mpya wa taifa huku kwenye makazi ya watu na anapiga mziki mpaka anakesha hakuna mtu wa kumuuliza. Wahusika wako busy wanasumbua wamiliki wa mabaa ambao at least wanalipa kodi kwamba ikifika saa sita mziki uzimwe. Hii ni double standards ingawa too many wrongs won't make right ,hii miziki iwe vigodoro ama ya kwenye mabaa need to stop kwa muda uliyo pangwa ili watu tuweze kulala na kupata utulivu wa mwili na akili.
 
Makonda yupo dsm hapa hapa.. Wanaofunga miziki mikubwa wanapewa vibali na serikali za mitaa
 
Back
Top Bottom