Ngoma ya kigodoro kiashiria tosha nchi haina maadili na imejaa laana

Hiyo ngoma ya kigodoro inachezwa na makabila yote 120 tanzania hadi useme nchi haina maadili? Ungesema mbagala walau ningekuelewa kidogo sana.Kitu umekiona sehemu ndogo tu ya mbagala unasema nchi!!!! kweli kipofu kaona mwezi unaoitwa ngoma ya kigodoro.

Ungewauliza wanaocheza hiyo ngoma ni dini gani ungeshaa mwenyewe.Ni waislamu majina.Na kigodoro kinachezwa maeneo yenye waislamu wengi.
 
kwa hiyo katika ukiristo hakuna sheria ya kuzuia hayo uliyo yaona kwenye video yako
 
Hizo video vipo kibao wewetube, kwa kweli ni jangaa hichi kizazi. Watoto wa kike wanacheza K wazi kabisa, wanavua vyupi na kuziweka kichwani mbele ya kadamnasi. Yaani, bora hata polisi walivyompiga yule mmoja risasi ya tako.
 
Rafiki yangu mmoja alikuwa Dar matembezini, kaja na video aliyoirekodi Mbagala Inn opposite na Dar live. Nilichojifunza hapa ni nchi kukosa dira na mwelekeo. Nawahurumia sana watoto wangu. Japo mimi mkristu naomba sheria kali za nchi za kiislamu zitumike hapa nchini.
Vigodoro vinachezwa na makabila ya pwani ambayo ni zaidi ya asilimia 90 ni waislamu.
 
kwa hiyo katika ukiristo hakuna sheria ya kuzuia hayo uliyo yaona kwenye video yako
Dini ya kiislamu inaongozwa na sheria za kutumia nguvu kama makhirikhiri, mikwala kibao, kuchapana viboko, mapanga, kujilipua, kupigana mawe n.k. Lakini ukristo unaongozwa na kutii maandiko matakatifu ukiongozwa na roho mtakatifu hakuna injili ya mapanga.
 
Mimi nimependekeza sheria za kiislamu sijasema wanaocheza ni madada wa kiislamu au la haiwezekani ngoma kama hiyo ichezwe kwenye jiji ambalo usalama wa taifa wako kila kona. Nchi haina maadali ni bora sana sheria baadhi za kiislamu zikaruhusiwa.

Hii ngoma huwezi hata siku moja ukaiona Zanzibar,mnaotoa povu huenda ni wadau wakubwa wa hii ngoma.
 
Rafiki yangu mmoja alikuwa Dar matembezini, kaja na video aliyoirekodi Mbagala Inn opposite na Dar live. Nilichojifunza hapa ni nchi kukosa dira na mwelekeo. Nawahurumia sana watoto wangu.

Japo mimi mkristu naomba sheria kali za nchi za kiislamu zitumike hapa nchini.

kwa nini sheria za kiislamu zikuongoze wewe usiye muislam....badili dini kwanza...na kama hutaki futa kauli yako..
 
Hiyo ngoma ya kigodoro inachezwa na makabila yote 120 tanzania hadi useme nchi haina maadili? Ungesema mbagala walau ningekuelewa kidogo sana.Kitu umekiona sehemu ndogo tu ya mbagala unasema nchi!!!! kweli kipofu kaona mwezi unaoitwa ngoma ya kigodoro.

Ungewauliza wanaocheza hiyo ngoma ni dini gani ungeshaa mwenyewe.Ni waislamu majina.Na kigodoro kinachezwa maeneo yenye waislamu wengi.

Bichwa kubwa akili ya panzi. Mambo ya dini yanatoka wapi.
 
Rafiki yangu mmoja alikuwa Dar matembezini, kaja na video aliyoirekodi Mbagala Inn opposite na Dar live. Nilichojifunza hapa ni nchi kukosa dira na mwelekeo. Nawahurumia sana watoto wangu.

Japo mimi mkristu naomba sheria kali za nchi za kiislamu zitumike hapa nchini.

Hii Imekaaje? hao wa-zaramo wachache ndio wasababishe laana nchi nzima!
 
Dini ya kiislamu inaongozwa na sheria za kutumia nguvu kama makhirikhiri, mikwala kibao, kuchapana viboko, mapanga, kujilipua, kupigana mawe n.k. Lakini ukristo unaongozwa na kulitii maandiko matakatifu ukiongozwa na roho mtakatifu hakuna injili ya mapanga.
hitimisho tafadhari....
 
Leo mnatokwa povu na kigodoro,mnatetea big brother na upuuzi wake na vyombo vya habari ndio vinapiga promo usiku na mchana, mnapiga kina dada kuvaa uchi na kucheza hicho kigodoro, wakati huo mnatetea na kuhamasisha tumpigie kura yule miss wenu, kuna tofauti gani huyo miss anaetembea na kichupi jukwaani na hao wenye vigodoro,? Serikali yenu iko busy kukamata wanywa gongo,wakati huo matangazo ya pombe ndio wimbo na ndio symbol imekuwa kwenye radio zenu na Tv zenu,
 
Back
Top Bottom