Ngoma ya baikoko ni utamaduni au laana? nakwenda Tanga msaada wenu jameni

Spanishboy

Senior Member
Apr 24, 2011
118
65
Ninajiandaa kwenda zangu mkoani Tanga kujifunza mambo kadhaa juu ya utamaduni na ngoma ya baikoko, maana kupitia mitandao mbalimbali nimeona video na simulizi nyingi kuhusu ngoma hiyo ambayo naambiwa ukienda kuitazama ukitoka salama ni jambo la kushukuru.
61.jpg

Nimeangalia video yao ambayo nimeweka link hapo chini utazame na kama una maoni unieleze hii ni ngoma ya utamaduni wetu? au laana! kuna vionjo vimeongezwa ama namna gani maana its too much
 
Mimi nimekuwa nikishindwa kuelewa lengo kuu la ngoma hizi za baikoko zinazochezwa huko tanga kwani style ya kucheza inauvuaji wa nguo kwa mabinti na wamama wazima tena mbele ya familia zao baba wakat mwingine humazima mtoto akibinua viuno juu
hebu nisaidieni waungwa
 
Wewe utakuwa mwanafunzi wa Galanos, hivi hamjaacha tu ule mchezo wa kutoroka usiku kwenda kwenye baikoko?
 
Back
Top Bottom