Ngoma mpya ya King Kiba (So Hot) ni hot kweli kweli

Bila kupepesa macho ifike mahala binadamu tuwe waungwana ngoma ya so hot ni ngoma tamu imeonyesha uwezo wa alikiba kuwa ni mwanamuziki anaebadilika kuleta flavour tofauti kulingana na mahitaji ya mashabiki wa muziki.Tunajua hawezi kumfurahisha Kila mtu na pia hawezi kupendwa na Kila mtu Basi Kama hujafurahi chagua mziki wa msanii mwingine atakaefurahisha sio kuanza chuki za waziwazi unafanya tuwe na wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri..#muachaeni kiba na mashabiki zake Kama hufurahii mziki wake au humpendi au unaona hajui kuvaa Basi mshabikie anaejua kuvaa
 
Back
Top Bottom