Ngoma London

Kwa kweli hiyo tittle hata nami ilikimbiza kusoma, nilijua London ngoma nje nje..(HIV/AIDS) haya watani zangu wazaramo, jongolo jangu wa diba mie mwanangu kulumangira na kisamvu......kwa kuwa ni bure siji, maana bure aghali sana

Ushi

We ushirombo we si unatoka maparachichini? Mambo ya pwani umejuaje tena? Chijui nikapige picha kwa niaba ya wakereketwa?
 
Jamaa nimempigia simu kachomoa

what a shame

I was looking forwards kwenda kwenye ile ngoma
 
Mhhh....kwa kweli Wazaramo mnastahili sifa...Hongereni.

Lakini me nna swali, hivi kuchezwa kunamfanya binti awe na tofauti gani haswa na sista du? What I mean to say is this: Kama ni mapishi, kwa kweli mwanamke yoyote anaweza kuwa mpishi mzuri, regardless of the background. Kama ni kumridhisha mumewe...this is an art. Any woman can be a good lover. zaidi ya hapo, sio masista du wote wanaohusudu mabitozi, on the other hand, hao wanaochezwa wanaweza kabisa ku-end up na mabitoz. Sasa kulikoni?

Ukisema hii ngoma ni kukamilisha hatua ya mabinti hao wawili kimila, mie ninakubali. Lakini kuchezwa ngoma does not necessarily make a woman/girl any better in quality. Nina marafiki wengi washachezwa ngoma, na mara baada ya kuwekwa ndani na kutoka huwa hawashikiki!



we kaa tu hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom