Ngoma inogile: namuombea JK afya njema! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngoma inogile: namuombea JK afya njema!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mchekechoni, Feb 24, 2011.

 1. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Walisema wahenga 'ngoma inogile' na 'asiye na mwana aeleke jiwe'. Ooo wadiba eee, mwanangu leo kapika kisamvu! Mambo ya ukwereni hayo, wewe utayaweza!. Sasa wadau wenzangu wanajf ishu iko hivi: kuna umuhimu sana wa kutakiana kila la heri na afya njema hapa jf, na mimi kwa kuanzia namuwish good health JK, kwani kuna ubaya jamani?
   
Loading...