Ngoma hizo Ramadhani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngoma hizo Ramadhani??

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Sep 5, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,610
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Rais wa Libya, Muammar Gadafi (kulia) wakati wa maonyesho ya sanaa na ngoma alizowaandalia wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU) baada ya kikao chao cha siku moja kilichofanyika juzi katika Mji wa Tripoli nchini humo kuzungumzia usalama barani Afrika.
   
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...wallahi yakhe, duuh! Good observation!

  Angeahirisha hili tamasha mpaka baada ya mfungo ingekuwaje? double standards kweli huyu jamaa...
  Ramadhan mchana, usiku aaaaaah!....
   
Loading...