Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Tuliambiwa hii movie itaenda mpaka sehemu ya saba! Sehemu ya kwanza tulimuona sterling akishambulia kwa kasi ya ajabu... Majambazi wenyewe walikuwa na tusilaha tudogo tudogo... Kufika sehemu ya pili sterling akaenda kupigana na yale majambazi makubwa makubwa... Sasa wamempa tofali la kichwa... Ingawa aliomba usaidizi katika awamu ya tatu, inaonekana sterling ameumizwa vibaya... Ngoja tuone kama hii movie eitaendelea au ndio imefika mwisho!