Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,227
- 2,197
Hivi ninavyoongea kuna Mwarabu anatafuta kijana wa kusimamia shamba( Farm manager) la Hekari 30. Mhusika anatakiwa awe na ujuzi wa ufugaji wa samaki, kilimo na ufugaji. Pia anatakiwa awe mtu wa kujituma ili kufikia malengo.Dah! Maisha magum jaman, ni mwaka wa pili tokea nimalize chuo lakin bado nakaa tu nyumbn kwa sababu nimekosa ajira yeyote itakayoniwezesha kujitegemea, hata mchumba sina, mtoto sina, hata furaha niliyokua nayo zaman kwny maisha yang ilishapotea kabisa! yan kwa ufupi sina hili wala lile... Kuna wakati hua nawaza sana maana nina miaka 24 saiz lakin sina kazi, kinachoniuma zaidni kuwaona wenzang waliokua nyuma yangu wao wakiwa wamepiga hatua kubwa.
Hadi sasa sijapata kijana mwenye hizo sifa na mbaya zaidi vijana wengi hawataki kazi za nguvu na wanaotaka hawana ujuzi.Wapo wapo tu.