TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 4,974
- 15,310
Pamoja na mengi yaliyosemwa, ila nadhani graduates wengi bado kuna tatizo kwenye kuchagua kazi. Hapa napoongea mimi nimeshawapeleka vijana wawili wakaanze kazi sehemu na wakakataa kisa wanadai mshahara mdogo. Hivi kweli kwa mtu ambae umemaliza chuo, huna ramani, huna experience yoyote, unapata mtu anakupeleka sehemu hakuna interview wala nini we njoo uanze kazi kesho...... kazi ni ya ofisini full kipupwe wala hutoki jasho... eti unakataa kisa unataka ulipwe laki nane kwa mwezi. Wakati sehemu zingine watu wanaomba hata kujitolea bure wanakosa?