Ngoja niseme tu Samahani kama nitawakwaza huyu ni mkaka ninayemkubali sana humu Jamii Forum

Bi Khadija

Member
Aug 20, 2018
79
237
Kuna watu niliwahi sema walinivutia sana kuja Jamii Forums. Mmojawapo ni gudume. Huyu uandishi wake,visa na mikasa yake ilinifanya niingie JF kila siku kutaka msoma.

Ameongezeka Boss Kiduku Lilo. Huyu jamaa anajua kuandika,hana ugomvi,hana matusi, ana pesa na si mtu wa wanawake anavyoonekana.

Mimi sijui ukweli wake upo wapi.lakini napenda sana fuatilia nyuzi zake.zinanitia uchungu wa maisha na pia napata burudani. Najenga picha anapokuwa anaandika anakuwa anakunywa juice miguu kaweka juu amejilaza kivivu.

Ni mwanaume anayejiamini na mwenye utulivu. Akitukanwa wala hajibu.anaonesha kuwa na dharau kwa watu wasio muelewa. Nmejikuta tu nmekuwa mpenzi wake.

Wakati mwingine inachosha kusoma habari za majonzi,shida,mateso ,umaskini na unyonge kila siku. Tunataka mambo ya kuburudisha na kupumzisha akili. Ndo maana nikasema leo ngoja nisome hasa hii trip yake ya Bagamoyo nimeipenda sana.

Ni hayo tu kaka na dada zangu.tusiwe tunaponda siku zooooote.sometime hata tusifie mazuri.
 
Wewe ndiye Kiduku mwenyewe.

Kwa nini? Katika uzi wake wa jana alikuwa akikosea kuacha nafasi pale anapoweka nukta. Siyo mara moja au mbili.

Makosa yale yale yanarudiwa na mtu anayedai anamzimia. Is this a coincidence?

Unaweza kusema uongo, ila ukweli haujifichi.
JF kuna ma forensic experts wanaweza kuangalia muandiko wakapata mpaka alama za vidole.

Mkuu kama kweli basi una kipaji cha "attention to detail" ambacho ni adimu sana.

Yani mchizi kaja na ID nyingine kujipa kongole mwenyewe?
 
Kuna watu nliwahi sema walinivutia sana kuja Jamii Forums. Mmojawapo ni gudume. Huyu uandishi wake,visa na mikasa yake ilinifanya niingie JF kila siku kutaka msoma.

Ameongezeka Boss Kiduku Lilo. Huyu jamaa anajua kuandika,hana ugomvi,hana matusi, ana pesa na si mtu wa wanawake anavyoonekana.

Mimi sijui ukweli wake upo wapi.lakini napenda sana fuatilia nyuzi zake.zinanitia uchungu wa maisha na pia napata burudani. Najenga picha anapokuwa anaandika anakuwa anakunywa juice miguu kaweka juu amejilaza kivivu.

Ni mwanaume anayejiamini na mwenye utulivu. Akitukanwa wala hajibu.anaonesha kuwa na dharau kwa watu wasio mwelewa. Nmejikuta tu nmekuwa mpenzi wake.

Wakati mwingine inachosha kusoma habari za majonzi,shida,mateso ,umaskini na unyonge kila siku. Tunataka mambo ya kuburudisha na kupumzisha akili. Ndo maana nikasema leo ngoja nisome hasa hii trip yake ya Bagamoyo nimeipenda sana.

Ni hayo tu kaka na dada zangu.tusiwe tunaponda siku zooooote.sometime hata tusifie mazuri.
Umewasahau wafuatao:-
ZERO IQ,
DEO KISANDU. ni kukumbusha tu mkuu
 
Laiti ungelijua ni mfyatua matofali wala usingejirahisisha hivyo kwake
Kuna watu nliwahi sema walinivutia sana kuja Jamii Forums. Mmojawapo ni gudume. Huyu uandishi wake,visa na mikasa yake ilinifanya niingie JF kila siku kutaka msoma.

Ameongezeka Boss Kiduku Lilo. Huyu jamaa anajua kuandika,hana ugomvi,hana matusi, ana pesa na si mtu wa wanawake anavyoonekana.

Mimi sijui ukweli wake upo wapi.lakini napenda sana fuatilia nyuzi zake.zinanitia uchungu wa maisha na pia napata burudani. Najenga picha anapokuwa anaandika anakuwa anakunywa juice miguu kaweka juu amejilaza kivivu.

Ni mwanaume anayejiamini na mwenye utulivu. Akitukanwa wala hajibu.anaonesha kuwa na dharau kwa watu wasio mwelewa. Nmejikuta tu nmekuwa mpenzi wake.

Wakati mwingine inachosha kusoma habari za majonzi,shida,mateso ,umaskini na unyonge kila siku. Tunataka mambo ya kuburudisha na kupumzisha akili. Ndo maana nikasema leo ngoja nisome hasa hii trip yake ya Bagamoyo nimeipenda sana.

Ni hayo tu kaka na dada zangu.tusiwe tunaponda siku zooooote.sometime hata tusifie mazuri.
 
Gudume alitoa wazo la kufanya sex tour, mimi ndio mratibu wa tour hiyo, je ungependa kushiriki?

mkuu unang'ata na kupuliza

JF kuna ma forensic expwrts wanaweza kuangalia muandiki wakapata mpaka alama za vidole.
Mkuu kama kweli basi una kioqji cha "attention tondetail" ambacho ni adimu sana.
Yani mchizi kaja na ID nyingine kujipa kongole mwenyewe?
 
mkuu unang'ata na kupuliza
Ni alama ya maarifa pia mkuu.

Moderation.

Watu kama Kiduku wana umuhimu wao. Hata kama ni kwa kutupa comedic release tu, au kuwajulisha watu fulani ma catalog tu.

Sasa mtu mwingine hatajua "Lincoln Navigator" au GCM ni kitu gani mpaka Kiduku aandike.

Na akiandika ujue kuna watu wana Google na wanajifunza.

Hata kama ni stories za kutunga tu.

Katika tamthiliya na ushairi kuna aina fulani pekee ya uandishi, utunzi inaitwa "braggadocio". Hii watu wa Hip Hop wanaitumia sana.

Naona Kiduku naye ana hii style, kwetu sisi watu wa ku appreciate sanaa tunaweza kuchukulia uandishi wake ni sehemu ya sanaa ya kujieleza.
 
Hata sio mapenzi ni katika kutafuta tu chakula cha roho iliyo pondeka

1.kutafuta hekima kwa watu humu

2.kutafuta matumaini humu kwa usawaa wa kuhangaika huu

tangu aingie kiduku lilo JF imekua burudani
 
Back
Top Bottom