Ngoja nikwambie sasa, sisi wahuni wa miaka ya 90 na tulivyo sasa

Mkuu ukipata time naomba uniandikie old scul song zote ambazo ni classic ... Nilikuwa nawaangalia milli and vanili Daahh ngoma yao ilikuwa kali sana

Nilikuwaga naisikia but sikuwa najua kwamba wao ndio waimbaji fake
 
Mandela Bar. ..naifahamu ya zamani sana hiyo Bar.tulikuwa tunafika kule kupata maji...Kimanga napafahamu.
Hizo zote za juzi tu mitaa ile,za kitambo ilikuwa ni camp bar pamoja na Madison square pale Tabata bima na hapo Jirani na Mandela ya kitambo ni maruma bar.
 
Back
Top Bottom