Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,566
Hivi haiwezekani kutengeneza kifaa ambacho ukikiwasha tu kinaleta giza?
Kama vile taa ukiiwasha si inaondoa giza unaleta mwanga!!!
Yaani ikiwa saa sita mchana unataka zako kulala mf...unakiwasha tu kinaondoa mwanga wote panabaki na giza totoro,ukikizima mwanga unarudi.
Yaani kwa kifupi hakuwezi kuwa na taa inayowaka mwanga mweusi(ingawa weusi siyo mwanga)...ila hapa nadhani itaeleweka zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app