Ngoja na mimi nitoe ya rohoni wana chit chat

Ni mojawapo ya character za watu,kuna character zaidi ya nne,
sifa ya flagmatic ,1.huwa ni wapole na wataratibu,2.hawana maamuzi,kama ni jambo wanaweza kukaa nalo mkononi bila kutoa uamuzi 3.huwa wana aibu 4.ni rahisi kutengeneza urafiki 5.akiwa ktk group la watu huwa anafunikwa coz yeye si muongeaji 6.huwa wanafikiri sana na wana facts zaidi kutokana na uwezo wao wa kufikiri 7.huwa wanapendelea kukaa wenyewe mara nyingi.8.there ar gud ktk kazi ambazo zinawaweka peke yao kama zzinazohusu computer,software,accountants,bussines analyst etc,,thats why wengi wa matajiri wa comp duniani ni flagmatics incharacter
 
Ni mojawapo ya character za watu,kuna character zaidi ya nne, sifa ya flagmatic ,1.huwa ni wapole na wataratibu,2.hawana maamuzi,kama ni jambo wanaweza kukaa nalo mkononi bila kutoa uamuzi 3.huwa wana aibu 4.ni rahisi kutengeneza urafiki 5.akiwa ktk group la watu huwa anafunikwa coz yeye si muongeaji 6.huwa wanafikiri sana na wana facts zaidi kutokana na uwezo wao wa kufikiri 7.huwa wanapendelea kukaa wenyewe mara nyingi.8.there ar gud ktk kazi ambazo zinawaweka peke yao kama zzinazohusu computer,software,accountants,bussines analyst etc,,thats why wengi wa matajiri wa comp duniani ni flagmatics incharacter[/QU duh!
 
Ni mojawapo ya character za watu,kuna character zaidi ya nne,
sifa ya flagmatic ,1.huwa ni wapole na wataratibu,2.hawana maamuzi,kama ni jambo wanaweza kukaa nalo mkononi bila kutoa uamuzi 3.huwa wana aibu 4.ni rahisi kutengeneza urafiki 5.akiwa ktk group la watu huwa anafunikwa coz yeye si muongeaji 6.huwa wanafikiri sana na wana facts zaidi kutokana na uwezo wao wa kufikiri 7.huwa wanapendelea kukaa wenyewe mara nyingi.8.there ar gud ktk kazi ambazo zinawaweka peke yao kama zzinazohusu computer,software,accountants,bussines analyst etc,,thats why wengi wa matajiri wa comp duniani ni flagmatics incharacter
i think i am one also,ila JF naongea balaaa!!!...hizo character zingine hembu funguka pia.tujue
 
Sanguine- hawa mara nyingi huwa
1.ni waongeaji sana na
2.huwa na marafiki wengi,
3.hupenda kutembea ktk makundi makundi
4.mara nyingi huwa ni waigizaji
5. they are talkative
5.hupenda kuonekana mambo yao kuwa ni makubwa ama hupenda sifa
6.they are funny,never boring kama flagmatic ndio maana huwa wana marafiki wengi
7.huwa ni vigeugeu
..ktk kuishi na watu ukishajua character ya mtu hatakusumbua kwa sababu unajua jinsi walivyo na madhaifu yao
 
Sanguine- hawa mara nyingi huwa 1.ni waongeaji sana na 2.huwa na marafiki wengi, 3.hupenda kutembea ktk makundi makundi 4.mara nyingi huwa ni waigizaji 5. they are talkative 5.hupenda kuonekana mambo yao kuwa ni makubwa ama hupenda sifa 6.they are funny,never boring kama flagmatic ndio maana huwa wana marafiki wengi 7.huwa ni vigeugeu ..ktk kuishi na watu ukishajua character ya mtu hatakusumbua kwa sababu unajua jinsi walivyo na madhaifu yao[/SOLUSHENI YAO NI NINI
 
sasa nifanyeje niondokane na hofu????//////??////?/////////////////?????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????/
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom