Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,703
- 8,481
Kwema wadau
Ni hivi, Wazungu huwa watu wa ajabu sanaa chini ya juaa hili, yaani wana pesa mpaka hawana pa kuzipeleka ndio maana wanakuja huku Africa kufanya matumizi yao.
Watu mliosomea kozi hizo, asee changamkieni fursa hii.
Yaani kuna NGO/Taasisi nimekutana nayo inafundisha watu kuwa rafiki wa wanyama, wasiwapige. Kuna mmoja mebase kwenye Punda, asee jamaa anapewa helaa balaa.
Yaani ameenda mashuleni ameomba vipindi vya ziada anafundisha wanafunzi, anapiga picha akiwa darasani, anachukua picha za video wanafunzi wakiwa wanaeleza jinsi wanavyokua na urafiki na wanyama hao, yaani punda.
Wazungu wanafurahishwa na hili, wanakuja kutembelea hizo shule, watoto, wanapiga nao picha na wanaenda mitaani punda hao walipo. Ni hela tu zinamwagika.
Jamaa wakiona picha, videos, elimu inavotolewa wanamwaga pesa (hawa watu wnahitaji facts (watakuja mpaka kwenye shule hiyo watamuuliza mwalimu mkuu na wanafunzi, yaani wakiridhika aseee umeula.
Nimeona niwaletee wazee wangu humu kama wazo, unaeza ukadili na wanyama wengine kama Ng'ombe (maana wao nao wanafanyishwa makazi magumu), nguruwe na wengine.
Wazungu pesa wanazo ni sisi tu kuwapelekea maandiko yetu