NGO zilizo Dar es salaam zitumie majengo ya Serikali

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
11,528
12,365
Ukipita katika majengo yaliyokuwa ofisi za wizara na taasisi mbalimbali Jijini Dar es salaam utayaonea huruma majengo yaliyokuwa ofisi za serikali kabla ya serikali kuhamia Dodoma.

Majengo hayo yamezidi kuchakaa na ipo hatari madhara makubwa yakatokea baadae.

Rai yangu kama serikali inaweza kuweka utaratibu majengo hayo sasa yafanywe ofisi na NGOs/CBOs kwa makubaliano ya malipo kiasi lakini pia ni njia ya kuyatunza majengo hayo.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Mh. Lukuvi hili nadhani linawezekana kabisa.

Swali litakuja kule ambako NGOs hizo wameweka ofisi sasa itakuwaje?

Ni hivi ofisi nyingi ambazo NGOs wameweka makazi nyingi ni nyumba tu za watu hii itasaidia pia kushusha gharama za kodi kwa wananchi kwani nyumba zitakuwa nyingi hivyo demand haiizidi supply.

Lakini ikishindikana kabisa zifanywe apartment kwa kuwashirikisha Shirika la Nyumba watu wakae, Dar bado kuna hitaji kubwa la makazi.

Kwa sasa majengo hayo yakiachwa miaka 2-3 kuna hatari majengo hayo kuchakaa zaidi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe akiondoka tu,serikali inarudi Dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom