Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Jmn wazma humu ndugu zangu?
ThnxSisi wazima...
Wakaribishwa Jf
Metimuliwa huko ndukiiKwahiyo umesha ingia ndani umepiga misele ndo unarudi mlangoni kuanza kupiga hodi?
Haya karibu sana!Metimuliwa huko ndukii
mchumba mambooJmn wazma humu ndugu zangu?
SanteHaya karibu sana!
Poa tu kwemamchumba mamboo
Kwema sijui huko ulipoPoa tu kwema
Karibu san afu naomba niwe mwenyeji wako humu jf.Hata pm nifate tu,usiogopeJmn wazma humu ndugu zangu?
AsanteKaribu san afu naomba niwe mwenyeji wako humu jf.Hata pm nifate tu,usiogope
Labda kama ulikuwa hujui mimi ndiye mmiliki wa JF....Thnx
Hahaha ongeraa kwa umilikiLabda kama ulikuwa hujui mimi ndiye mmiliki wa JF....
Unakufahamu PM...?
Uje na ugali wako humu