Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
- Thread starter
- #21
Karibu sana
Asante katavi
Karibu sana
NshakaribiaKrb sana JF...
Nshakaribia
Jmn wazma humu ndugu zangu?
Nshakaribishwa na kahawa mkuu umechelewa sn mpk nishakuwa mwenyejUnatumia kahawa, chai, maziwa, juis au soda? Karibu sana JF
Ahsante nshakaribiaWazima sana karibu
Kama wamekupa kahawa tayari mimi nakuletea supu ya pwezaNshakaribishwa na kahawa mkuu umechelewa sn mpk nishakuwa mwenyej
Jmn wazma humu ndugu zangu?
karibu mkuuInaelekea pm haipo buys ? Ngoja waje!!!
karibu mkuu
Hahaha haya ngoja nakutumiaNi pm namba yako aisee maana naona wameshavamia ofic za jf, tunaweza potea hewani muda wowote!
hahahahahahahaahahahahahahahah, nimecheka kwa sauti kubwa sijui kwanini tuuu tehe tehe teheNi pm namba yako aisee maana naona wameshavamia ofic za jf, tunaweza potea hewani muda wowote!
Teh teh nishamtumia namba taar au naww nikutumie nn?hahahahahahahaahahahahahahahah, nimecheka kwa sauti kubwa sijui kwanini tuuu tehe tehe tehe
Hali mbaya saiv akuna cha album wala kitochiNahisi muda uko mahali hapo home umeshikilia KITOCHI au ALBUM hahahahahah