Ng'o,mbe wa maziwa hukamuliwa mara ngapi kwa siku?

Mkuu, wewe na huyo Ng'ombe wako mko wapi? Ungekuwa huku kwetu Ukerewe ningekufundisha kwa vitendo "Mbinu za Ukamuaji Endelevu" zinazozingatia namna na muda muafaka wa kumkamua huyo Ng'ombe wako!

Fasihi imezingatiwa!
 
Kama ni ng,ombe wa aina Frieshian,s wale wenye asili ya kisiwa cha Island, Kule Nchini Ufaransa hakika wana rekodi nzuri ya kuzalisha mazao ya kiwango cha juu.
Kamua asubui;Mchana ,Na Jioni iwapo tu unakamua kwa ajili ya biashara,

Kama sio ya Biashara mwachie Ndama ukishapata huko ya Chai.
 
Habari wana MMU!!
Jamani mwenzenu nina ng'ombe nimemleta hapa nyumbani wiki iliyopita.
Ng'ombe huyu nilimnunua huko Mkoani Ruvuma miezi tisa iliyopita ila niliamua kumuacha kwanza huko akue na anenepe kidogo ndipo nimlete mjini ili nimfuge mwenyewe kwani kwa kipindi chote hicho nilikuwa bado sina uwezo wa kumtafutia nyasi za kula na madawa ya kumchoma hasa ukizingatia nilikuwa bado pia sina banda la kumfugia.
Sasa naomba msaada wenu kwa wenye ng'ombe wa maziwa mabandani mwenu eti ni mara ngapi kwa siku (mchana/usiku) inatakiwa ng'ombe akamuliwe maziwa..!!?
Unatakiwa kukamua mara mbili tu kwa siku nzima Yaani asubuhi saa 12 na jioni saa 11 tu sio zaidi ya hapo. Ila ng'ombe anayekamuliwa anatakiwa alishwe vizuri sana Yaani asikose vile virutubisho muhimu kama pumba, damu, vitamin, molasis, chokaa, jiwe la kulamba, maji ya kutosha na chakula kingi. Muda mwingi awe analishwa hata usiku uniwekee chakula cha kutosha na maji yasikosekane kamwe.
 
Ng' ombe wako kamua kila anapokuwa na hamu....
hakikisha unampa pumba, shudu, maji ya vuguvugu na mpe jiwe la kulamba lenye calcium asije toka bambani na kujua wenziwe wapewa nni.
Ukitegemea wa kijiji mkame Mara kwa Mara cos bado ana nguvu.
Mtunze vizuri michepuko no jua ng' ombe wako ndo mzuri na mwenye maziwa matamu
Loooo fasihi heee kazi kwel kweli

Wenye ng'ombe majumbani mwao tujuzane basi, tunapaswa kuwakamua mara ngapi kwa siku?
 
Habari wana MMU!!
Jamani mwenzenu nina ng'ombe nimemleta hapa nyumbani wiki iliyopita.
Ng'ombe huyu nilimnunua huko Mkoani Ruvuma miezi tisa iliyopita ila niliamua kumuacha kwanza huko akue na anenepe kidogo ndipo nimlete mjini ili nimfuge mwenyewe kwani kwa kipindi chote hicho nilikuwa bado sina uwezo wa kumtafutia nyasi za kula na madawa ya kumchoma hasa ukizingatia nilikuwa bado pia sina banda la kumfugia.
Sasa naomba msaada wenu kwa wenye ng'ombe wa maziwa mabandani mwenu eti ni mara ngapi kwa siku (mchana/usiku) inatakiwa ng'ombe akamuliwe maziwa..!!?
Mkuu; Post/Thread imechakachuliwa kiasi kwamba sasa haieleweki tena. Mi nilidhani ni ng'ombe(Mooh) lakini kadri wachangiaji walivyochangia ikiwa ni pamoja na ww, yaonekana ipo haja ya kumfahamu mkamuaji na anayekamuliwa. Ni maziwa gani yanazungumziwa hapa? Nimetoka kapa aisee.Fasihi bhana, Duh!
 
Back
Top Bottom