NGO inayohusika na kuokoa TEMBO Tanzania

Nyamgluu

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
3,160
1,717
Habari wadau, nimejaribu ku google ila nimeshindwa pata NGO zilizopo Tanzania zinazo dili na kuokoa Tembo wetu hapa Tanzania. Article zingine ni za zamani na ni habari tu lakini sijaweza pata specific NGO ya kuweza kuwa contact.

Naomba mdau yeyote mwenye jina na mahali ilipo ofisi yeyote ya NGO inayohusika na kuokoa tembo wetu wanaomalizwa na hawa akina nanihii, nina idea nataka niende kuongea nao tuone kama tunaweza ifanyie kazi na ninauhakika itakua na nguvu sana katika kuokoa hawa viumbe wanaotoweka!

The tiumph of evil is when good people do NOTHING!
 
Kwa kuwa marekani anaona tembo ni ishu basi na wabongo nao makalio yanawacheza cheza wanaacha mambo yote ya msingi eti nao kila kukicha wanawaza na kujadili tembo!!..ndugu unaonaje ukiwaza kuokoa vikongwe na albino na sio Tembo? mbona tuna matatizo zaidi ya Tembo? kwa hiyo ukiambia uokoe kati ya albino wa tanzania na Tembo wa tanzania utachagua kuokoa Tembo? wewe ushawahi kuishi au hata kuongea na tembo?hebu achana na hizo siasa za Marekani na China!..
 
Hahaha duh! Niko na mood nzuri leo wacha nikuache tu.... hehehe!
Usijali nikipata na idea ya kuokoa albino na vikongwe nitakutafuta unichezeshee makalio na wewe tu implement. I hope ni KE!
 
CHOMA PEMBE,OKOA TEMBO NA FARU.
Umewaza vyema,lakini kuza wazo lako labda linaweza kuja kuwa ukombozi wa tembo.
 
hakuna haja ya kutafuta NGO nenda moja kwa moja wizarani pale mpingo house labda watakusikiliza.
 
Back
Top Bottom