Pale central upande wa traffic kuna canteen nadhani wanata wateja kesho ili wauze vyakula vyao, trust me Mbowe amechukuliwa kwa mbwembwe zote kupelekwa Arusha lakini baada ya kufikishwa mahakamani hakimu akasema Mbowe hana kesi ya kujibu.
Usifadhaike kamanda hizo ni porojo tu za jeshi la polisi.
Jibu hoja au zimekushinda kujibu? unanini weyee, aahh, mtu mzima hovyooo, badala ya kujibu hoja unataka kuingilia maisha yangu, hata hupendezi.
Nimekupata na asante kwa maelezo yako. Bila shaka nina maswali kadhaa ninayotaka kuuliza hasa ukizingatia kuwa mimi sio mwanasayansi wa kisiasa au mwanasiasa wa kisayansi (political scientist).
Tatizo langu ni kuwa haya maelezo yamekaaa kinadharia sana na yanaonekana kuelea sana hewani (abstract). Kwa mtazamo wangu naona kama hayajanisaidia sana kuelezea hali halisi ya siasa zetu za Tanzania na Africa kwa ujumla. Kwa lugha nyingine naona kama maelezo yako hayajakidhi kiu yangu ya kuijua ile "scientific approach" uliyoiongelea awali lakini kwa muktadha wa mazingira ya Tanzania yetu.
Mfano unaposema "positivism", "interpretivism", "structuralism" au "post structuralism" una maana gani kwa muktadha wa siasa za Tanzania kwa sasa. Je mwelekeo wa siasa wanazofanya mfano watu wa CCM au CHADEMA au CUF zinaangukia katika kundi gani kati ya hayo uliyoyataja hapo juu.
Je wapinzani wanatakiwa watumie "approach" ipi katika mazingira ambayo chama kimoja kina mamlaka yote ya dola, ikiwa ni pamoja na bunge na mahakama na kinaweza kutunga na kutekeleza sheria zinazokipa mamlaka ya kukandamiza uhuru wa vyama vinavyokipinga? J watumie positivism, interpretivism, rational choice theory, behavioral, structuralism, post-structuralism, realism, institutionalism au pluralism? Je wanatekelezaje hizo approach kama wakiamua kuzifuata au kwa lugha nyingine ni ipi kwa mtazamo wako inafaa kufuatwa na wapinzani wa tanzania ili wafikie malengo yao ya kuking'oa chama tawala ambacho nacho kingependa kuendelea kutawala milele?.
Naomba ufafanuzi ili kama bado nina maswali niyaulize.
Mbona unajitetea "kufa kishujaa" mapema mno? kwani uliambiwa unakwenda kuuliwa?, au unaongelea ushujaa wa kuandaa maandamano kwa ajili ya mtu aliyekiuka amri ya mahakama?
Hivi ushujaa mnausikia au mnaujuwa ni nini? Nakusitikia sana kwa kuwa unafikra potofu za kutaka kuisaidia nchi yako kwa njia zisizo stahiki. Tanzania, na uchanga wake lakini ni nchi yenye demokrasia ya hali ya juu kulinganisha na nchi nyingi duniani. Na tunaona demokrasia ikizidi kushamiri hususan kipindi hiki cha awamu ya nne. Hivi mnafikiri kuvunja amani au kujidai uhodari ndio demokrasia?
Nilifikiri kuwa watu makini mngetumia "a more scientific approach" kuliko mbinu ambazo hazina tija kwa sasa. Haitotokea wala usijipotezee wakati kudhani kwamba kuna siku mtaichukuwa hii nchi kwa mabavu. Wananchi waliopiga kura zao na kwa wingi wao walichaguwa viongozi ambao wanaona wao wanawafaa, iwe wa chama chochote kile, hamuwezi leo kuja na kujidai mashujaa kwa kuivuruga demokrasia yetu.
Nenda kwa usalama ukajibu maswali, na tunakuombea iwe kweli kama ulivyosema kuwa hukuhusika na uvunjifu wa amani na usijidai kufanya ubishi usio na mpango huko uendako. Fata sheria na usifanye mzaha na nguvu za dola, si uliona juzi juzi walimsweka ndani Mwenyekiti?
Kumbuka, utajuta utakapoona kwamba hao wanasheria unaowategemea wanaingia mitini, kwa kuwa tu huna kitu, hapo ndipo utapojuwa kuwa unazugwa tu na wachache wenye uchu wa madaraka.
Sio kosa lako akili za Nape hizo. Mwaka mtatumwa wengi, ila sisi mwendo mdundo. magamba polisi hawawezi siasa za CDM mtachemsha tu.
Na wewe??? Sijui uko kwa ajili ya nani?? Any way; ni uhuru wako "kumtumikia kafiri ili upate mradi wako"
Wakuu kila siku me huwa nasema mkiona huyu Faiza ameandika comment ni kumuacha na ku ignore comment zake hana jipya zaidi tukimjibu tunapoteza muda wetu.
Achana na bwg huyo hana maana yeyote wanahangaika na viposho wanavyopewa na chama cha magamba 'eti walete mashambulizi jukwaani' mwisho wao umefika.. Go on! go on!.. Freedom is coming 2moro..
Hawa ndio wametumwa na UVCCM ya Nape kushambulia JF... arguing like someone who has never seen the inside of a classroom. Ushauri wa bure washauri CCM watumie scientific approach kuwaletea watz maisha bora sio bora maisha.
Na kwa ugamba wake anaona umaarufu, dawa kuachana na post za kijinga
Wenzetu mnaruhusu wake wengi kwa mume mmoja. Wewe una wake wenzako wangapi?
Kauli ya pandikizi la Nape na mmoja wa vibaraka wa vibakauchumi ambao Nape anatamba amewapadikiza kwenye blogs mbalimbali ikiwemo hii ya JF.
Kama kawaida yao, hawana haya wala soni. Ni aibu yao kujali njaa zao zaidi kuliko hali ya mtanzania. Mwisho waukuwadi wenu u karibu na wanamapinduzi kazeni buti kuwang'oa wahuni hawa. Polesana Faizalfoxy, mwambie Nape na wahuni wenzie wameshindwa kabla hawajaanza! Kifo kwa CCM.
Hivi uliingia lini kwenye payroll ya Nape!
Faiza, i never intended to reply to your message but imenikera sana. Kwanza nakusikitikia kwa hukumu uliyotoa kwa mwananchi ambaye ameamua kupigania haki yake ya msingi ya kutokukubaliana na kile kinachofanywa na watawala. Pili ingawa ni haki yako kutoa maoni lakini si haki kutoa hukumu, umenisikitisha na kunikera, siamini. Kwa haraka haraka either una nufaika na mfumo unaotunyonya wengi au uko katika harakati za siasa za maji taka
pole dada yangu na nakutakia kila la kheri
utaumia bure,iq yake huyo imesha expire,ndo maana kajifananisha na foxy
Hapa ulikuwa unafanya nini? Ushindwe kabisa!
<br />
<br />
FaizaMBWAA unataka kusema hapo ndo mwisho wako wa kufikiri? Hata ivo tumeshajua unatumika kwaiyo watu makini hawana hofu na Faiza MBWAA.
hii ni naibu dadangu unajidhalilisha sana,najua ni njaa tu huna tofauti na tambwe
FaizaFoxxy nimesoma posts zako kwa siku chache nilizizoanza kuchungulia humu ndani!! Nimegundua kitu kimoja!
Kwa uwezo wa kufikiri:- FaizaFoxxy = Jakaya Kikwete
Think outside the box my dear!!
Faizafoxy, Democrasia siyo kuvaa vimini na kukaa uchi mbele ya kandamnasi: kama umesahau maanake, omba uelimishwe bure.
Demokrasia maana yake ni kuandamana na kuwa "mpiganaji" au sio?
Eti wamawatuma watu mitandao ya Jamii, Kufanya nini? Nadhani wanahitaji somo la social media! Sijawahi ona popote watu wakitumwa kusocialize! Hivi CCM hawana Mathink Tanker? naona matenka yao yamejaa maji machafu!
Umeshapewa elfu zako 2 za siku ya leo??
Faizafoxy maana ya democrasia utaijua, mkivuliwa magamba kwa nguvu ya umma.
Tatizo lako faizafoxxy unafikiri baada ya kuandika,
Faiza faiza faiza ndo nn sasa?mnamvimbisha kichwa bureeeeeeeeeeee,CDM kamandaz bullshit huyo faiza,tujadili la huyo kamanda wetu.
Unajitaidi sana kuwatafutia watu ban,hizo ni dalili za u**laya.
Atakuwa kashalipwa, huoni alivyokazana kutoa majib yasiyo na kichwa wala miguu. Hawa njaa itawaua. Mtu mwenye akili hawezi kuuza UTU wake kwa buku mbili.
[/COLOR]Sasa nimeelewa kichwa yako ilivyo,nilijua wanakuonea,hivi unuwakika unacho kinena kuhusu MM hapo kwenye red,kwanini unapenda kuchakachua kila kitu,au ndio ulivyo fundishwa na Kiravu+ Makamba+Tambwe?
Bulls Sheet from Nape thinking tank
FAIZAFOXY? Hili jina limenikumbusha mbali sana! Tulipokuwa shule mwanamke anayepigisha sana na ambaye ananuka tulikuwa tunamwita FAIZAFOXY.
Wewe hujajichunguza hata unapojiponda mwenyewe na posts zako zinazojipinga na kujipinda. Sidhani kama ni punguani wewe.
Hivi umeolewa kweli wewe,au umeshaachika kwa NAPE,basi nenda kwa Mzee msekwa,naona unawaza kwa kutumia makamasi
Hahahahah! Yaan huyu ni FOXY wa ukweli. Hivi angelipwa elf 5 kwa siku si angewehuka kabisa. Elf 2 tu imemtoa akili hivi.
Kama yuko kwenye kampeni ya kusambaza ukimwi. Jihadhali chukua hatua.
nape at work for magamba!!
Still I will say USHINDWE
watu kama hawa ni vizuri kuwafahamu kiuhalisia majina yao, wapi wanafanya kazi/wanaishi!!
Ungejua pumba zako zinavyokera usingethubutu kuandika ujinga wako hapa. Una maisha? Kupewa tu makombo ndio yanakunyima kufikiri?
Nilidhani kichwa.. kumbe ni mzee wa ku-copy na ku-paste. Ahaha. Ndugu usiuze utu wako kwa akiha Nepi.
Unamtia mkenge mwenzako, ngoja siku unaitwa wewe ufanye hivyo, ndio wale wale! au ndio mafunzo kutoka kwa Dad?
Hahahaaaaa, umeishiwa na hoja?
Njoo Mtaa wa Lumumba na Kariakoo, nyumba ya kona, na nnaitwa Faiza. Unalo?
Ndugu zangu wana JF Salamu,
Nimepigiwa simu kuwa nahitajika Police Kanda Maalum kwa mahojiano ya namna gani nilihusika na maandamano ya juzi ambayo yalitawanywa na police pale Magomeni kwa mabom ya machozi...
And according to them am the prime suspect, which iz not true. However, after consulting the CDM legal team, I have accepted the call na nitaenda majira ya asubuhi saa tano..Najua gov iko katika wakati mgumu na badala ya kushughulikia kero za wananchi imeamua kukamata kamata na kuhakikisha inatutisha ili tusiendeleze mapambano...
Ndugu zangu nimekuwa nikilisema hili na nitaendelea kulisema kuwa kamwe sitarudi nyuma katika mapambano haya...Tutaipigiania haki yetu kwa ajili yetu na vizazi vyetu...Tanzania ni yetu sote sisi na vizazi vyetu na wala si ya CCM na vibaraka wao..Ni heri kufa kishujaa lakini historia mpya ikiwa imeandikwa kuliko kufa kinafki....Inshallah Mwenyezi Mungu yupo na atatusaidia......
Aluta Continua...............
Inasikitisha sana kuona hawa wachangiaji wote wamepoteza muda wao kujibizana na mtu/watu wenye lengo la kuharibu mada husika. Hawa wote wameshindwa kuhangia lengo kuu la hii thread badala yake wanasumbuka kujibizana na mtu ambaye anaonyesha wazi kabisa lengo lake nini hapa JF....it's sad that you have been easily taken for a ride by this granny who claims to be a Foxy. Foxy my foot!!
Kwa ufupi ni kwamba Faiza amefanikiwa lengo kwa kiasi kikubwa kuliko great thinkers wengi hapa jamvini kwa sababu ameweza kuzuia flow ya thread kwenda ilivyotakiwa. Nafikiri kila mtu angemweka kapuni kwa ku-ignore posts zake sidhani kama angekuwa na effect kubwa aliyonayo sasa....lakini kama uko hapa jamvini kwa lengo kubishana then Faiza na watu kama yeye wanakufaa zaidi maana hawana constructive argument, wao ni ubishi tu kama kwenye vijiwe vya kahawa uswahilini.
Mbona unajitetea "kufa kishujaa" mapema mno? kwani uliambiwa unakwenda kuuliwa?, au unaongelea ushujaa wa kuandaa maandamano kwa ajili ya mtu aliyekiuka amri ya mahakama?
Hivi ushujaa mnausikia au mnaujuwa ni nini? Nakusitikia sana kwa kuwa unafikra potofu za kutaka kuisaidia nchi yako kwa njia zisizo stahiki. Tanzania, na uchanga wake lakini ni nchi yenye demokrasia ya hali ya juu kulinganisha na nchi nyingi duniani. Na tunaona demokrasia ikizidi kushamiri hususan kipindi hiki cha awamu ya nne. Hivi mnafikiri kuvunja amani au kujidai uhodari ndio demokrasia?
Nilifikiri kuwa watu makini mngetumia "a more scientific approach" kuliko mbinu ambazo hazina tija kwa sasa. Haitotokea wala usijipotezee wakati kudhani kwamba kuna siku mtaichukuwa hii nchi kwa mabavu. Wananchi waliopiga kura zao na kwa wingi wao walichaguwa viongozi ambao wanaona wao wanawafaa, iwe wa chama chochote kile, hamuwezi leo kuja na kujidai mashujaa kwa kuivuruga demokrasia yetu.
Nenda kwa usalama ukajibu maswali, na tunakuombea iwe kweli kama ulivyosema kuwa hukuhusika na uvunjifu wa amani na usijidai kufanya ubishi usio na mpango huko uendako. Fata sheria na usifanye mzaha na nguvu za dola, si uliona juzi juzi walimsweka ndani Mwenyekiti?
Kumbuka, utajuta utakapoona kwamba hao wanasheria unaowategemea wanaingia mitini, kwa kuwa tu huna kitu, hapo ndipo utapojuwa kuwa unazugwa tu na wachache wenye uchu wa madaraka.
Kama Chadema "legal team" wamekushauri uende kituoni na wao wana matatizo.