Hana sababu ya kwenda; kama Polisi wanamuona ni mtuhumiwa waende mahakamani wapate warrant wamkamate ili wamhoji mbele ya wakili wake. Kwanini ajitolee? Kama ni wito wa kawaida ana uhuru wa kukataa kuitikia; kama Polisi wanaamini wana sababu ya kumhoji waende kumkamata. Watanzania wanawaendekeza sana hawa polisi. Polisi akija nyumbani kwako na kukuambia "njoo nje" mtu anatoka kisa? ati ni Polisi!! Polisi akikuambia njoo nikupekue mtu anavua hadi nguo!
Mlengo wa Kati, taratibu my dear, usimwache kijana akapata "stroke".
Ndugu zangu wana JF Salamu,
Nimepigiwa simu kuwa nahitajika Police Kanda Maalum kwa mahojiano ya namna gani nilihusika na maandamano ya juzi ambayo yalitawanywa na police pale Magomeni kwa mabom ya machozi...
And according to them am the prime suspect, which iz not true. However, after consulting the CDM legal team, I have accepted the call na nitaenda majira ya asubuhi saa tano..Najua gov iko katika wakati mgumu na badala ya kushughulikia kero za wananchi imeamua kukamata kamata na kuhakikisha inatutisha ili tusiendeleze mapambano...
Ndugu zangu nimekuwa nikilisema hili na nitaendelea kulisema kuwa kamwe sitarudi nyuma katika mapambano haya...Tutaipigiania haki yetu kwa ajili yetu na vizazi vyetu...Tanzania ni yetu sote sisi na vizazi vyetu na wala si ya CCM na vibaraka wao..Ni heri kufa kishujaa lakini historia mpya ikiwa imeandikwa kuliko kufa kinafki....Inshallah Mwenyezi Mungu yupo na atatusaidia......
Aluta Continua...............

And according to them am the prime suspect, which iz not true. However, after consulting the CDM legal team, I have accepted the call na nitaenda majira ya asubuhi saa tano...Ni heri kufa kishujaa lakini historia mpya ikiwa imeandikwa kuliko kufa kinafki....
Inshallah Mwenyezi Mungu yupo na atatusaidia......
Aluta Continua...............
Mbona unajitetea "kufa kishujaa" mapema mno? kwani uliambiwa unakwenda kuuliwa?, au unaongelea ushujaa wa kuandaa maandamano kwa ajili ya mtu aliyekiuka amri ya mahakama?
Hivi ushujaa mnausikia au mnaujuwa ni nini? Nakusitikia sana kwa kuwa unafikra potofu za kutaka kuisaidia nchi yako kwa njia zisizo stahiki. Tanzania, na uchanga wake lakini ni nchi yenye demokrasia ya hali ya juu kulinganisha na nchi nyingi duniani. Na tunaona demokrasia ikizidi kushamiri hususan kipindi hiki cha awamu ya nne. Hivi mnafikiri kuvunja amani au kujidai uhodari ndio demokrasia?
Nilifikiri kuwa watu makini mngetumia "a more scientific approach" kuliko mbinu ambazo hazina tija kwa sasa. Haitotokea wala usijipotezee wakati kudhani kwamba kuna siku mtaichukuwa hii nchi kwa mabavu. Wananchi waliopiga kura zao na kwa wingi wao walichaguwa viongozi ambao wanaona wao wanawafaa, iwe wa chama chochote kile, hamuwezi leo kuja na kujidai mashujaa kwa kuivuruga demokrasia yetu.
Nenda kwa usalama ukajibu maswali, na tunakuombea iwe kweli kama ulivyosema kuwa hukuhusika na uvunjifu wa amani na usijidai kufanya ubishi usio na mpango huko uendako. Fata sheria na usifanye mzaha na nguvu za dola, si uliona juzi juzi walimsweka ndani Mwenyekiti?
Kumbuka, utajuta utakapoona kwamba hao wanasheria unaowategemea wanaingia mitini, kwa kuwa tu huna kitu, hapo ndipo utapojuwa kuwa unazugwa tu na wachache wenye uchu wa madaraka.
Wewe ni kawaida yako kuponda kila kitu, so maneno yako wala hayanivunji moyo katika harakati za kuidai Haki...Sema chochote uwezacho kusema dadangu...Hata ukitaka kutukana wewe tunakana tu, si kinywa ni chako! Aluta Continua.....
Ndugu zangu wana JF Salamu,
Nimepigiwa simu kuwa nahitajika Police Kanda Maalum kwa mahojiano ya namna gani nilihusika na maandamano ya juzi ambayo yalitawanywa na police pale Magomeni kwa mabom ya machozi...
And according to them am the prime suspect, which iz not true. However, after consulting the CDM legal team, I have accepted the call na nitaenda majira ya asubuhi saa tano..Najua gov iko katika wakati mgumu na badala ya kushughulikia kero za wananchi imeamua kukamata kamata na kuhakikisha inatutisha ili tusiendeleze mapambano...
Ndugu zangu nimekuwa nikilisema hili na nitaendelea kulisema kuwa kamwe sitarudi nyuma katika mapambano haya...Tutaipigiania haki yetu kwa ajili yetu na vizazi vyetu...Tanzania ni yetu sote sisi na vizazi vyetu na wala si ya CCM na vibaraka wao..Ni heri kufa kishujaa lakini historia mpya ikiwa imeandikwa kuliko kufa kinafki....Inshallah Mwenyezi Mungu yupo na atatusaidia......
Aluta Continua...............
Wakuu kila siku me huwa nasema mkiona huyu Faiza ameandika comment ni kumuacha na ku ignore comment zake hana jipya zaidi tukimjibu tunapoteza muda wetu.
Mbona unajitetea "kufa kishujaa" mapema mno? kwani uliambiwa unakwenda kuuliwa?, au unaongelea ushujaa wa kuandaa maandamano kwa ajili ya mtu aliyekiuka amri ya mahakama?
Hivi ushujaa mnausikia au mnaujuwa ni nini? Nakusitikia sana kwa kuwa unafikra potofu za kutaka kuisaidia nchi yako kwa njia zisizo stahiki. Tanzania, na uchanga wake lakini ni nchi yenye demokrasia ya hali ya juu kulinganisha na nchi nyingi duniani. Na tunaona demokrasia ikizidi kushamiri hususan kipindi hiki cha awamu ya nne. Hivi mnafikiri kuvunja amani au kujidai uhodari ndio demokrasia?
Nilifikiri kuwa watu makini mngetumia "a more scientific approach" kuliko mbinu ambazo hazina tija kwa sasa. Haitotokea wala usijipotezee wakati kudhani kwamba kuna siku mtaichukuwa hii nchi kwa mabavu. Wananchi waliopiga kura zao na kwa wingi wao walichaguwa viongozi ambao wanaona wao wanawafaa, iwe wa chama chochote kile, hamuwezi leo kuja na kujidai mashujaa kwa kuivuruga demokrasia yetu.
Nenda kwa usalama ukajibu maswali, na tunakuombea iwe kweli kama ulivyosema kuwa hukuhusika na uvunjifu wa amani na usijidai kufanya ubishi usio na mpango huko uendako. Fata sheria na usifanye mzaha na nguvu za dola, si uliona juzi juzi walimsweka ndani Mwenyekiti?
Kumbuka, utajuta utakapoona kwamba hao wanasheria unaowategemea wanaingia mitini, kwa kuwa tu huna kitu, hapo ndipo utapojuwa kuwa unazugwa tu na wachache wenye uchu wa madaraka.
Ukishauriwa na mjinga na wewe ukakubali ushauri huo basi na wewe ni mjinga.
CAMARADERIE, haaaa, kumbe siku ile yule shoga'ko uliyempa kamera alikuwa anapiga picha? maana mwenyewe nakuona unachungulia kwa nyuma kule! sasa ndio nini kuianika namna hiyo, na zile tulizopiga tunabusiana ziweke basi au unamuogopa nanihii?
Ndugu zangu wana JF Salamu,
Nimepigiwa simu kuwa nahitajika Police Kanda Maalum kwa mahojiano ya namna gani nilihusika na maandamano ya juzi ambayo yalitawanywa na police pale Magomeni kwa mabom ya machozi...
And according to them am the prime suspect, which iz not true. However, after consulting the CDM legal team, I have accepted the call na nitaenda majira ya asubuhi saa tano..Najua gov iko katika wakati mgumu na badala ya kushughulikia kero za wananchi imeamua kukamata kamata na kuhakikisha inatutisha ili tusiendeleze mapambano...
Ndugu zangu nimekuwa nikilisema hili na nitaendelea kulisema kuwa kamwe sitarudi nyuma katika mapambano haya...Tutaipigiania haki yetu kwa ajili yetu na vizazi vyetu...Tanzania ni yetu sote sisi na vizazi vyetu na wala si ya CCM na vibaraka wao..Ni heri kufa kishujaa lakini historia mpya ikiwa imeandikwa kuliko kufa kinafki....Inshallah Mwenyezi Mungu yupo na atatusaidia......
Aluta Continua...............
Mwacheni FaizaFoxy, hata mechi huwa na washangiliaji. dada yetu wewe vuta mshiko wa Nape najua ajira ngumu mjini, wakati wenye uchungu na nchi yao wanatafuta muafaka wa kuikomboa kutoka kwa walioshiba na vibaraka wao wewe endelea kuleta mzaha. Na ninawaomba waungwana wakuvumilie kwani watu kama ninyi hamwezi kukosekana.
Siku moja utasherehekea matunda ya uhuru, uhuru kamili. najua wapo wajomba na wadogo zako ninapoandika wanamwalimu mmoja, hakuna madawati, wala vitabu. najua bibi yako kakosa dawa hospitali, mama yako anatumia nishati ya kuni, na binadamu yako kashindwa kupeleka mtoto shule sababu hana ada. Jirani yako kafa kwa ajali sababu barabara mbovu na hakuna gari la wagonjwa. Ukumbuke ukiwa mjamzito utapakizwa kwenye bajaj ba baba yenu JK ukiwa na bahati kama hutabwebwa mzega mzega.
Endeleza mzaha, kwani usistaajabu ukifika Muhimbili ukiambiwa dawa hakuna na mke wa JK akienda ulaya, huku Nape akiwa india anatibiwa anakushangaa wewe na shangazi zako. Najua leo umeme ukikatika lazima uwashe kibatari wakati ngeleja hajui kibatari. Madimbwi ya maji na mzalia ya mbu ndio chakula chako leo wanakuajiri kwa elfu mbili etu uwasaidie kuendelea kukugandamiza na kukutawala kiakili, kifrika na kiuchumi.
Endeleza mzaha jamvini kwani unasisimua wenye nia ya kweli.
Bora wewe ndugu yangu unataka ilmu, hii hapa kwa ufupi ndio scientific approach:
Political science is methodologically diverse and appropriates many methods originating in social research. Approaches include positivism, interpretivism, rational choice theory, behavioral, structuralism, post-structuralism, realism, institutionalism, and pluralism. Political science, as one of the social sciences, uses methods and techniques that relate to the kinds of inquiries sought: primary sources such as historical documents and official records, secondary sources such as scholarly journal articles, survey research, statistical analysis, case studies, and model building.
Ukiwa na maswali zaidi usisite kuuliza.