FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,881
- 109,188
Faiza, i never intended to reply to your message but imenikera sana. Kwanza nakusikitikia kwa hukumu uliyotoa kwa mwananchi ambaye ameamua kupigania haki yake ya msingi ya kutokukubaliana na kile kinachofanywa na watawala. Pili ingawa ni haki yako kutoa maoni lakini si haki kutoa hukumu, umenisikitisha na kunikera, siamini. Kwa haraka haraka either una nufaika na mfumo unaotunyonya wengi au uko katika harakati za siasa za maji taka
pole dada yangu na nakutakia kila la kheri
Soma vizuri na iweke hapa hiyo hukumu niliyoitowa, wacha pumba!