Ng'hily Kuhojiwa na Police Kanda Maalum

Kama unajua ulichokifanya ni sahihi nenda, otherwise jifungie tu ndani kwako! Kama wana shida na wewe watakufuata
 
Pole mkuu...ukifika waaambie Polisi kwamba Utawala wa CCM umefika ukingoni..(kumbuka hii ni statement ya mwisho kabla hujaondoka)
 
Wewe ni kawaida yako kuponda kila kitu, so maneno yako wala hayanivunji moyo katika harakati za kuidai Haki...Sema chochote uwezacho kusema dadangu...Hata ukitaka kutukana wewe tunakana tu, si kinywa ni chako! Aluta Continua.....
Achana nae...
 
Achana na bwg huyo hana maana yeyote wanahangaika na viposho wanavyopewa na chama cha magamba 'eti walete mashambulizi jukwaani' mwisho wao umefika.. Go on! go on!.. Freedom is coming 2moro..
 
Mzee mwanakijiji can you be specific on this?

Hana sababu ya kwenda; kama Polisi wanamuona ni mtuhumiwa waende mahakamani wapate warrant wamkamate ili wamhoji mbele ya wakili wake. Kwanini ajitolee? Kama ni wito wa kawaida ana uhuru wa kukataa kuitikia; kama Polisi wanaamini wana sababu ya kumhoji waende kumkamata. Watanzania wanawaendekeza sana hawa polisi. Polisi akija nyumbani kwako na kukuambia "njoo nje" mtu anatoka kisa? ati ni Polisi!! Polisi akikuambia njoo nikupekue mtu anavua hadi nguo!
 
ushauri makini, Nimependa ufafanuzi huu. Kumbe kisheria mtu anahaki ya kugomea wito wa Police ? Mpaka wapate warant ya mahakama . . . .
 
of course ndio maana kuna warranti, na ndio maana kuna subpoena. Huwezi kujitolea tu na hata wakikukamata kwa nguvu hawawezi kukulazimisha ufungue mdomo; wanaweza kukutisha, kunynyasa kisaikolojia na mbinu za kipolisi n.k lakini ukijua haya unaweza kwenda ukacheka tu.
 
Ng'hily,
Nenda na wakili, hivi vyombo vyetu vya dola vipo kwa maslahi ya wachache na vinapindisha sheria kwa maksudi, na kama kunahitajitika msaada wa aina kifedha kwa ajili kuweka wakili nipo tayari kusaidia itikadi yangu kisiasa ( CCM) hainuzii kuchangia katika hili. Inapotafutwa haki ya msingi itikadi za kisiasa tunaweka kando.

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Mbona unajitetea "kufa kishujaa" mapema mno? kwani uliambiwa unakwenda kuuliwa?, au unaongelea ushujaa wa kuandaa maandamano kwa ajili ya mtu aliyekiuka amri ya mahakama?

Hivi ushujaa mnausikia au mnaujuwa ni nini? Nakusitikia sana kwa kuwa unafikra potofu za kutaka kuisaidia nchi yako kwa njia zisizo stahiki. Tanzania, na uchanga wake lakini ni nchi yenye demokrasia ya hali ya juu kulinganisha na nchi nyingi duniani. Na tunaona demokrasia ikizidi kushamiri hususan kipindi hiki cha awamu ya nne. Hivi mnafikiri kuvunja amani au kujidai uhodari ndio demokrasia?

Nilifikiri kuwa watu makini mngetumia "a more scientific approach" kuliko mbinu ambazo hazina tija kwa sasa. Haitotokea wala usijipotezee wakati kudhani kwamba kuna siku mtaichukuwa hii nchi kwa mabavu. Wananchi waliopiga kura zao na kwa wingi wao walichaguwa viongozi ambao wanaona wao wanawafaa, iwe wa chama chochote kile, hamuwezi leo kuja na kujidai mashujaa kwa kuivuruga demokrasia yetu.

Nenda kwa usalama ukajibu maswali, na tunakuombea iwe kweli kama ulivyosema kuwa hukuhusika na uvunjifu wa amani na usijidai kufanya ubishi usio na mpango huko uendako. Fata sheria na usifanye mzaha na nguvu za dola, si uliona juzi juzi walimsweka ndani Mwenyekiti?

Kumbuka, utajuta utakapoona kwamba hao wanasheria unaowategemea wanaingia mitini, kwa kuwa tu huna kitu, hapo ndipo utapojuwa kuwa unazugwa tu na wachache wenye uchu wa madaraka.

Hawa ndio wametumwa na UVCCM ya Nape kushambulia JF... arguing like someone who has never seen the inside of a classroom. Ushauri wa bure washauri CCM watumie scientific approach kuwaletea watz maisha bora sio bora maisha.
 
Mbona unajitetea "kufa kishujaa" mapema mno? kwani uliambiwa unakwenda kuuliwa?, au unaongelea ushujaa wa kuandaa maandamano kwa ajili ya mtu aliyekiuka amri ya mahakama?

Hivi ushujaa mnausikia au mnaujuwa ni nini? Nakusitikia sana kwa kuwa unafikra potofu za kutaka kuisaidia nchi yako kwa njia zisizo stahiki. Tanzania, na uchanga wake lakini ni nchi yenye demokrasia ya hali ya juu kulinganisha na nchi nyingi duniani. Na tunaona demokrasia ikizidi kushamiri hususan kipindi hiki cha awamu ya nne. Hivi mnafikiri kuvunja amani au kujidai uhodari ndio demokrasia?

Nilifikiri kuwa watu makini mngetumia "a more scientific approach" kuliko mbinu ambazo hazina tija kwa sasa. Haitotokea wala usijipotezee wakati kudhani kwamba kuna siku mtaichukuwa hii nchi kwa mabavu. Wananchi waliopiga kura zao na kwa wingi wao walichaguwa viongozi ambao wanaona wao wanawafaa, iwe wa chama chochote kile, hamuwezi leo kuja na kujidai mashujaa kwa kuivuruga demokrasia yetu.

Nenda kwa usalama ukajibu maswali, na tunakuombea iwe kweli kama ulivyosema kuwa hukuhusika na uvunjifu wa amani na usijidai kufanya ubishi usio na mpango huko uendako. Fata sheria na usifanye mzaha na nguvu za dola, si uliona juzi juzi walimsweka ndani Mwenyekiti?

Kumbuka, utajuta utakapoona kwamba hao wanasheria unaowategemea wanaingia mitini, kwa kuwa tu huna kitu, hapo ndipo utapojuwa kuwa unazugwa tu na wachache wenye uchu wa madaraka.
Kauli ya pandikizi la Nape na mmoja wa vibaraka wa vibakauchumi ambao Nape anatamba amewapadikiza kwenye blogs mbalimbali ikiwemo hii ya JF.
Kama kawaida yao, hawana haya wala soni. Ni aibu yao kujali njaa zao zaidi kuliko hali ya mtanzania. Mwisho waukuwadi wenu u karibu na wanamapinduzi kazeni buti kuwang'oa wahuni hawa. Polesana Faizalfoxy, mwambie Nape na wahuni wenzie wameshindwa kabla hawajaanza! Kifo kwa CCM.
 
Wanashindwa kukamata mafisadi wanaoendelea kuhujumu uchumi, wanakimbilia kukamata wanamapinduzi!!
Nadhani hawajui walitendalo ila it's "A SIGN OF VICTORY"
 
Polisi wengi ni CDM hao wakubwa tu ndio wanalamba viatu vya CCM. Wengi wanataka mabadiliko na wanafurahia PEOPLES POWER. Anaebisha afuatilie matokeo ya uchaguzi vituo vya polisi na majeshi ****** alipata kura ngapi kati ya zote. UKOMBOZI unaendelea.
 
CDM munasumbua sana dawa yenu ni kuwaweka ndani

Tatizo sio CHADEMa, tatizo ni nyinyi na uongoz wenu mbovu na kudhulu haki zetu. Sasa tumechoka tuna hasira za maskini aliyekata tamaa..na HAKUNA WA KUTUZUIA KTK KUDAI HAKI ZETU. Waambie tupo mamilion na mamilioni, waongeze risasi za kutosha, mabomu mengi zaidi,waongeze mageleza na mahabusu za kutosha na hata ikibi wakodishe na polisi wa nje..HAWATAWEZA KUTUMALIZA WALA KUTUNYAMANZISHA.

ALUTA KONTINUA.....HAKUNA KULALA.
 
Nina shauku ya kujua jina la mwanzisha mada linatamkwaje na ni la asili ya wapi.
 
Mbona unajitetea "kufa kishujaa" mapema mno? kwani uliambiwa unakwenda kuuliwa?, au unaongelea ushujaa wa kuandaa maandamano kwa ajili ya mtu aliyekiuka amri ya mahakama?

Hivi ushujaa mnausikia au mnaujuwa ni nini? Nakusitikia sana kwa kuwa unafikra potofu za kutaka kuisaidia nchi yako kwa njia zisizo stahiki. Tanzania, na uchanga wake lakini ni nchi yenye demokrasia ya hali ya juu kulinganisha na nchi nyingi duniani. Na tunaona demokrasia ikizidi kushamiri hususan kipindi hiki cha awamu ya nne. Hivi mnafikiri kuvunja amani au kujidai uhodari ndio demokrasia?

Nilifikiri kuwa watu makini mngetumia "a more scientific approach" kuliko mbinu ambazo hazina tija kwa sasa. Haitotokea wala usijipotezee wakati kudhani kwamba kuna siku mtaichukuwa hii nchi kwa mabavu. Wananchi waliopiga kura zao na kwa wingi wao walichaguwa viongozi ambao wanaona wao wanawafaa, iwe wa chama chochote kile, hamuwezi leo kuja na kujidai mashujaa kwa kuivuruga demokrasia yetu.

Nenda kwa usalama ukajibu maswali, na tunakuombea iwe kweli kama ulivyosema kuwa hukuhusika na uvunjifu wa amani na usijidai kufanya ubishi usio na mpango huko uendako. Fata sheria na usifanye mzaha na nguvu za dola, si uliona juzi juzi walimsweka ndani Mwenyekiti?

Kumbuka, utajuta utakapoona kwamba hao wanasheria unaowategemea wanaingia mitini, kwa kuwa tu huna kitu, hapo ndipo utapojuwa kuwa unazugwa tu na wachache wenye uchu wa madaraka.

Hivi uliingia lini kwenye payroll ya Nape!
 
Back
Top Bottom