Ng'hily Kuhojiwa na Police Kanda Maalum | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ng'hily Kuhojiwa na Police Kanda Maalum

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dickson Ng'hily, Jun 8, 2011.

 1. Dickson Ng'hily

  Dickson Ng'hily Verified User

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 60
  Ndugu zangu wana JF Salamu,

  Nimepigiwa simu kuwa nahitajika Police Kanda Maalum kwa mahojiano ya namna gani nilihusika na maandamano ya juzi ambayo yalitawanywa na police pale Magomeni kwa mabom ya machozi...

  And according to them am the prime suspect, which iz not true. However, after consulting the CDM legal team, I have accepted the call na nitaenda majira ya asubuhi saa tano..Najua gov iko katika wakati mgumu na badala ya kushughulikia kero za wananchi imeamua kukamata kamata na kuhakikisha inatutisha ili tusiendeleze mapambano...

  Ndugu zangu nimekuwa nikilisema hili na nitaendelea kulisema kuwa kamwe sitarudi nyuma katika mapambano haya...Tutaipigiania haki yetu kwa ajili yetu na vizazi vyetu...Tanzania ni yetu sote sisi na vizazi vyetu na wala si ya CCM na vibaraka wao..Ni heri kufa kishujaa lakini historia mpya ikiwa imeandikwa kuliko kufa kinafki....Inshallah Mwenyezi Mungu yupo na atatusaidia......

  Aluta Continua...............
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  mkuu, pole, tupo pamoja.
  nitakuwa central asubuhi sana kwa issue nyingine, nitakucheck.
   
 3. Mkwawa

  Mkwawa JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,290
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  Mashujaa hawaogopi, wewe nenda tupo nyuma yako. ukombozi ni kazi, na unahitaji uvumilivu.
   
 4. b

  baraka boki Senior Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  pole sana mkuu ccm wameshikwa pabaya
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,268
  Trophy Points: 280
  Pale central upande wa traffic kuna canteen nadhani wanata wateja kesho ili wauze vyakula vyao, trust me Mbowe amechukuliwa kwa mbwembwe zote kupelekwa Arusha lakini baada ya kufikishwa mahakamani hakimu akasema Mbowe hana kesi ya kujibu.
  Usifadhaike kamanda hizo ni porojo tu za jeshi la polisi.
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  uchungu unapo ongezeka ujue ukombozi umewadia. Saa ya ukombozi ni hii
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,288
  Likes Received: 19,438
  Trophy Points: 280
  tuko pamoja hadi kieleweke, wamemshindwa mboye wamehamia kwako
   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Mbona unajitetea "kufa kishujaa" mapema mno? kwani uliambiwa unakwenda kuuliwa?, au unaongelea ushujaa wa kuandaa maandamano kwa ajili ya mtu aliyekiuka amri ya mahakama?

  Hivi ushujaa mnausikia au mnaujuwa ni nini? Nakusitikia sana kwa kuwa unafikra potofu za kutaka kuisaidia nchi yako kwa njia zisizo stahiki. Tanzania, na uchanga wake lakini ni nchi yenye demokrasia ya hali ya juu kulinganisha na nchi nyingi duniani. Na tunaona demokrasia ikizidi kushamiri hususan kipindi hiki cha awamu ya nne. Hivi mnafikiri kuvunja amani au kujidai uhodari ndio demokrasia?

  Nilifikiri kuwa watu makini mngetumia "a more scientific approach" kuliko mbinu ambazo hazina tija kwa sasa. Haitotokea wala usijipotezee wakati kudhani kwamba kuna siku mtaichukuwa hii nchi kwa mabavu. Wananchi waliopiga kura zao na kwa wingi wao walichaguwa viongozi ambao wanaona wao wanawafaa, iwe wa chama chochote kile, hamuwezi leo kuja na kujidai mashujaa kwa kuivuruga demokrasia yetu.

  Nenda kwa usalama ukajibu maswali, na tunakuombea iwe kweli kama ulivyosema kuwa hukuhusika na uvunjifu wa amani na usijidai kufanya ubishi usio na mpango huko uendako. Fata sheria na usifanye mzaha na nguvu za dola, si uliona juzi juzi walimsweka ndani Mwenyekiti?

  Kumbuka, utajuta utakapoona kwamba hao wanasheria unaowategemea wanaingia mitini, kwa kuwa tu huna kitu, hapo ndipo utapojuwa kuwa unazugwa tu na wachache wenye uchu wa madaraka.
   
 9. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nenda mkuu usiogope then tunaomba waliopo dar wafuatilie hili na watupe report.
   
 10. Dickson Ng'hily

  Dickson Ng'hily Verified User

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 60
  Wewe ni kawaida yako kuponda kila kitu, so maneno yako wala hayanivunji moyo katika harakati za kuidai Haki...Sema chochote uwezacho kusema dadangu...Hata ukitaka kutukana wewe tunakana tu, si kinywa ni chako! Aluta Continua.....
   
 11. Dickson Ng'hily

  Dickson Ng'hily Verified User

  #11
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 60
  Mkuu nitakwenda, yeah...Big 1 amenambia atakuwepo Central kwa shughuli zingine ila ataniona na huenda huyo akatoa taarifa, hata hivyo sina wasiwasi naamini mambo yatakwenda vizuri...Pia nichukue fursa hii kuwashukuru wote ambao tuko pamoja...Mungu awabariki kwa upendo mnao uonyesha....
   
 12. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #12
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Amina mpiganaji.
   
 13. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sio kosa lako akili za Nape hizo. Mwaka mtatumwa wengi, ila sisi mwendo mdundo. magamba polisi hawawezi siasa za CDM mtachemsha tu.
   
 14. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Na wewe??? Sijui uko kwa ajili ya nani?? Any way; ni uhuru wako "kumtumikia kafiri ili upate mradi wako"
   
 15. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Wakuu kila siku me huwa nasema mkiona huyu Faiza ameandika comment ni kumuacha na ku ignore comment zake hana jipya zaidi tukimjibu tunapoteza muda wetu.
   
 16. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,164
  Likes Received: 1,167
  Trophy Points: 280
  Ukiona matatizo yamezidi ujue neema inakaribia!, Mkuu usihofu nenda naamin utarudi salama.
   
 17. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Nenda tu Mkuu! huko Central kumejaa watu wasio na akili sasa ni wewe kujieleza na ndio watakuelewa na kujiona wapumbavu! mambo yatakuwa shwari! we really need to ignore Foxxy! ukipigizana kelele na mtu wa hivo na sisi tutaonekana machizi maana tutakuwa hatuna tofauti! what a silly creature she is!!
   
 18. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #18
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Kama Chadema "legal team" wamekushauri uende kituoni na wao wana matatizo.
   
 19. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #19
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mzee mwanakijiji can you be specific on this?
   
 20. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,787
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  tunakuja kusukuma gari
   
Loading...