Sijasoma hii stori lakini akiingia kuisafisha CCM watu watalia na kusaga meno. Ndani ya CCM kuna watu wapo pale kwa ajili ya wizi na siyo mapenzi ya chama. wanatumia chama kupata fedha kutoka kwa wafadhili mbalimbali na hasa wafanyabiashara wa jamii ya ..... Wamejenga majumba ya kifahari. Kijana mdogo hata miaka mitano hajafikisha ndani ya chama ana jumba la kifahari huku milango akfungua kwa remote control..fedha amepata wapi..wameuza mali za chama bia kufuata taratibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.