Elections 2010 Ngereja na umeme wizi mtupu.

MZEE SERENGETI

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
214
10
wana jamii huku Arusha Mgao wawa umeme unaendelea kwa kasi kubwa sana.sijui mikoa mingine kama mnapata huu mgao au ni Arusha tu.
 
Hii wizara inatakiwa tujiulize kama ina watu wenye uwezo wa kutosha kuiongoza au ndo tubadilishe uongzi wake maana inahitaji viongozi wenye kutoa maamuzi ya msingi!

1. Umeme umeongezeka 18%
2.ongezeko ya gharama ya gas
3. Mfumuko wa bei za mafuta hawa ewura si wanafanya nini kuapprove vitu vizito
5. Naona sasa hata wauza mikaa nao wanapandisha bei maana wanaona ndiko watanzania wanakimbilia

sasa mh rais naona amefika wakati sasa atafute nyundo apige pale maana ni michosho mitupu!! Wizara kama haina watu wenye mamlaka ya wananchi!! Kha!
 
Umeme umeongezeka kwa 18.5% deni la DOWANS 185 bn do you read the numbers?
 
nimekaa shinyanga kama siku tatu nimeondoka leo kwa sababu ya umeme nimeshindwa kufanya kazi iliyonipeleka. hata maji wakazi wahuko wanadai ni ya mgao.
 
Hii wizara inatakiwa tujiulize kama ina watu wenye uwezo wa kutosha kuiongoza au ndo tubadilishe uongzi wake maana inahitaji viongozi wenye kutoa maamuzi ya msingi!

1. Umeme umeongezeka 18%
2.ongezeko ya gharama ya gas
3. Mfumuko wa bei za mafuta hawa ewura si wanafanya nini kuapprove vitu vizito
5. Naona sasa hata wauza mikaa nao wanapandisha bei maana wanaona ndiko watanzania wanakimbilia

sasa mh rais naona amefika wakati sasa atafute nyundo apige pale maana ni michosho mitupu!! Wizara kama haina watu wenye mamlaka ya wananchi!! Kha!
Hapo wizara ya madini hakuna mawziri ni mawakala wa mafisadi kufanikisha uhujumu na wizi wa maliasili za nchi kwenye madini, gas, mafuta etc na kushirikiana na wauza mafuta na gas wakubwa kuibia wanachi kwa kupanga bei zao za wizi na EWURA
 
wana jamii huku Arusha Mgao wawa umeme unaendelea kwa kasi kubwa sana.sijui mikoa mingine kama mnapata huu mgao au ni Arusha tu.

Mimi nashangaa kinoma maana toka baada ya uchaguzi mchana hakuna umeme hadi saa moja jioni mpaka saa moja asubuhi ndio unawaka, pamoja na hayo juzi wananiambia watapandisha bei ya umeme, Najiuliza umeme upi? Hawa CCM wana matatizo.
 
Hii wizara inatakiwa tujiulize kama ina watu wenye uwezo wa kutosha kuiongoza au ndo tubadilishe uongzi wake maana inahitaji viongozi wenye kutoa maamuzi ya msingi!

1. Umeme umeongezeka 18%
2.ongezeko ya gharama ya gas
3. Mfumuko wa bei za mafuta hawa ewura si wanafanya nini kuapprove vitu vizito
5. Naona sasa hata wauza mikaa nao wanapandisha bei maana wanaona ndiko watanzania wanakimbilia

sasa mh rais naona amefika wakati sasa atafute nyundo apige pale maana ni michosho mitupu!! Wizara kama haina watu wenye mamlaka ya wananchi!! Kha!

hiyo nyundo ikipatikana inabidi kwanza apigwe yeye mwenyewe bosi wao kabla ya wengine
 
wana jamii huku Arusha Mgao wawa umeme unaendelea kwa kasi kubwa sana.sijui mikoa mingine kama mnapata huu mgao au ni Arusha tu.

Mkuu hata huku shirika la umee ni hilo hilo la Arusha, na shirika letu halina upendeleo kabisa
 
Ni aibu katika karne hii nishati ya umeme inakuwa kama kupewa hisani? Hivi kweli tutaendelea kwa umeme huu wa kuungaunga?
 
Unga , maharage , mafuta ya kupikia , kuni ,chumvi ,vitunguu na mpishi vyote tunanvyo lakini bado twala ugali kwa maharage gengeni...inji hii bwana
 
kwani huyu jamaa i juzi tu aliropoka kuwa mgao basi? yaani siku ile ile nafika home kesho naambiwa hakuna umeme nitume pesa ya mafuta wanipikie msosi...pambaf kabisa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom