Ngeleja: Zitto aliomba na kupewa milioni 30 kutoka kwa Rugemarila

Kwani Ripoti ya CAG imemtaja Ngeleja ama kuna mtu yeyote aliyetiwa hatiani na hiyo ripoti ya CAG? Usichanganye ripoti ya CAG na ripoti ya PAC. Hizi ni ripoti mbili tafauti.

Kwenye vidokezo Ngeleja yumo, na yeye alete viambatanisho ili tumkabe Zitto vinginevyo anataka kumchafua gu Zitto.Huwezi kwenda kuiba unashtakiwa mahakamani unasema mbona jirani yangu hajakamatwa.Na ripoti waliyoitumia PAC imetokana na ripoti ya CAG.Hata kama mnamchukia Zitto laKini kwa hapa hamumtendei haki hata kidogo.
 
Ngeleja muhuni sana anacheza na akili za Bavicha anajua akimtaja Zitto watakuwa upande wake siasa hizi.
 
Tatizo la wachangiaji wengi humu ndani wana taarifa za vijiweni kama wewe. Unajiuliza hii taarifa kaitoa wapi?

Tatizo la Vijani wengi humu JF ni kukomenti bila hata kuelewa kilicho andikwa. Nikuulize, ni taarifa gani ya vijiweni nimeandika hapo? Soma taratiiiiib utanielewa tu.
Tena for your informatin, mimi sina chama wala si shabiki wa mtu na haswa M ccm. I will choose even a stone not a ccm candidate. Mmetufanya mandondocha for more than 50 yrs. Yatosha baaaas
 
Two Wrongs Don't Make One Right! Angejitetea Kivyake.. Ameonesha Shallowness & Political Mediocity!
 
Ngeleja katuhamisha kwenye mjadala, na hii n mpango mahusi ili watu wasahau ajenda,

Asbh magazet kama c yote, utasikia zitto atafuna pesa za aptl, na pap, ngereja alichofanya ni sayans of political, ambayo miongon mwa kanuni zake ni kuhamisha ajenda..

Vijana wa .com ni ngum sana kuelewa ila wale wa analogy wanajua...
 
  • Thanks
Reactions: yok
Kwani report ya CAG imemtaja Ngeleja? This is Mobb thinking... hujui unachoongelea....

Hivi kwanini mnapenda kujidanganya? Mkombozi bank hakuna malipo ya Ngeleja? Na Anna Tibaijuka alitajwa kwenye ripoti ya CAG? Au ni viambatanisha ndivyo vilivyawatia hatiani? Siko kwenye mob nipo kwenye facts na evidence tu.
 
Hivi Ngeleja anataka ubunge Kigoma Kaskazini?
Huyu Ngeleja ni mwanasheria na tena huyu kiazi mkubwa anautamani urais. Jitu limezoea kuomba omba kwa wanaume halafu liwe rais, si wanaume wanaweza kulili** 0658. Uwezi kudai usihukumiwe eti hadi wengine anaowajua yeye waletwe mbele ya pilato. Hii nchi haikosi vituko.
 
Zitto ni mnafiki sana. Hatutakiwi kuwa na watu wa aina yake.mara ya tatu hiyo anatajwa kuhusiana na Escrow, bungeni alitajwa na Asumter na kibajaji

Hao ote waliomtaja ni mabingwa wa matusi bungeni wala hawana ushahidi tusiwavunje moyo watu majasili kama Zitto kwa sababu ya kuwatetea mafisadi kama kina ngeleja
 
Bongo bwana viroja kweli ...sasa kuwahoji waloga omba au kupewa fedha lakini mtoaji hana kosa wala haitwi kuhijiwa au kufunguliwa kesi...hii kwa ushahidi wa kimazingira hakuna kosa kwani mtoaji ametoa kihalali.
Bila ya Ruge kukamatwa hakuna kesi hapa tunachezewa tu

kuwa makini ndugu, wakimkamata huyo atafunua hadi maovu ya Mwenyekiti CCM taifa!
 
Ngeleja anasema Zitto alipokea milioni 30 Lusinde naye anasema alipokea milioni 10.

teh teh teh

Mkuu Riz kumbuka kuwa za Lusinde alisema Zitto kapewa NA SingaSinga. Hizi Ngereja anasema Zitto kapewa na Bepari la Kihaya.

Hawa wanasiasa Sina imani nao sasa hivyo naogopa kumtetea mtu. Ila Ngereja kadhihilisha ujinga mbele ya watanzania kwa utetezi wa kijinga kama huu.
 
Mpuuzi tu uyo Ngeleja elimu yake haimsaidii kitu.ZZK anapata mishale toka pande zote za ccm na CDM lakini naamini atashinda badala ya kujitetea bwana Ngeleja eti na Ztt alichukua kweli we ni mpuuzi jibu kesi kwanza.

akili ya kalinzi iko hivi?
 
Fine...kama zitto alinegewa na yeye atahojiwa na kuchukuliwa hatua stahiki.
sio zitto tu ..hata kama ni Slaa au kafulila wote watawajibishwa
 
Tuchukie kila anayeiba bila kumtazama usoni.... Zkk sio malaika, apelekwe mbele ya baraza akajitetee kama ambavyo aliwatuhumu wengine na wako mbele ya baraza kujitetea. Hakuna aliyazaliwa akiwa muovu.... Uchafu tunajifunza kutoka hapahapa. Zkk kama aliteleza akaomba msaada kwa manufaa yake ila kwa kutumia ushawishi wa ubunge wake ni wajibu wake kutueleza. Tuhuma zitajibiwa kwa vielelezo makini kuyoka kwake.
 
Two Wrongs Don't Make One Right! Angejitetea Kivyake.. Ameonesha Shallowness & Political Mediocity!

Sikutegemea Ngeleja anaweza kujitetea Kitoto namna hiyo! Wala siamini kama huo ni Utetezi wa Ngeleja,Kumekuwa na habari za kupikwa mno humu.Mtu mzima mwenye akili hawezi kujitetea kwa namna hiyo.Unatoa vithibitisho na sio kusema Mbona fulani nae kapewa!
 
kwani zitto yupo ccm?inafikia hatua kila mtu afie kwenye msalaba wake basi maana suruali imeshachanika sehemu mbaya hivyo achunge mwondoko wAke asijetembea uchi
 
Back
Top Bottom