Ngeleja sasa apozwa machungu ya kuvuliwa uwaziri...

Hivi kumbe hata kwenye kuzoa taka kuna utapeli, ndio maana jiji uchafu unaongezeka badala ya kupungua. Kwa utaalam wangu wa Operations Management kazi ya kuzoa taka kwa jiji kama Dar hailipi kabisa kwa kuwa utatakiwa kuinvest sana kwenye magari ya kuzolea taka due to foleni. Gari moja linaweza kishia trip mbili tu kwa siku na pia watz hatuna utamaduni wa usafi tunatupa taka hovyo

Kama hailipi unafikiri wakubwa, wazito hawa wanafanya hizi kazi kwa nini? kufurahisha wahisani au wanamazingira? hii inaweza kua inalipiwa na serikali kuu moja kwa moja kama katika harakati za kutunza mazingira huku kukiwa na mchakato wa wahisani...kuna mambo mengi sana ndugu yangu, hivi unajua uwa kuna hela zinatolewa na wahisani kupunguza umaskini jijini Dar? sasa zinaenda wapi jiuzlize
 
Yeye mpaka kupewa ilo dili taratibu zilifuatwa?
Maana zina ela sana izo deal

Kuna mtu namfahamu alipata tenda ya kuzoa hizi taka KKo peke yake miaka ya nyuma kidogo na baada kutemwa anakula hela mpaka leo..hii kitu ina hela, kama kawaida yenu wadanganyika mnashindwa fikiria mchakato wa hela kama hizi, utakuta yale magari kama yale ya kisasa ya Eco ni msaada fulani toka kwa wahisani fulani kuja tz, kichini chini "wamekopeshwa" wawekezaji wa ndani katika ile SPIRIT ya public sector-priate sector cooperation in improving efficiency..watu wanakula hela nyie mnasema "wanajishusha" kwa kuzoa taka...wakipiga miaka yao mi5 wanaendelea kuongoza jamii yenu kwa pesa zenu huku mkiendelea kulalamika tu
 
Kweli maisha ni kupanda na kushuka, kutoka kula kiyoyozi cha wizara ya madini hadi kuzoa taka maeneo ya upanga na posta...

Nina doubt... Nakushauri ndugu yangu Ngeleja rudi tu kwenye fani uliyosomea ya sheria hizi kazi za kuzoa taka sio hadhi yako kaka.

Huyo ni mjasiliamali toka akiwa waziri, mbona anakampuni ya ku supply Chakula migodini toka angali waziri..
 
Back
Top Bottom