Ngeleja Nakuja Kugombea Ubunge Jimbo Lako 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngeleja Nakuja Kugombea Ubunge Jimbo Lako 2015

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Muke Ya Muzungu, Nov 7, 2011.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Mh. Ngeleja, nakuja kugombea jimboni kwako 2015. Siasa Zako uchwara za chuki, majungu na fitna ndo sababu. Bahati Nzuri Riz1 agombei. Mdogo wangu angegombea kwake. Mpende msipende Mwezi wa Kwanza Marope lazima Aingie Foreign au Nishati na Madini...Ukijaribu kum-sabotage, tumia akili siyo hiyo staill
   
 2. rweyy

  rweyy Senior Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  kazi ipo kumtoa Ngereja umeme kila kijiji na kazi imeanza kwa vijiji tisa mwaka huu
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  nasikia alikuwa akizindikwa hadharani. Alicharangwa chele utadhani penseli inayochongwa.
  Ukimwambia unataka kumng'oa enzini anaweza kujiharishia
   
 4. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ninakubaliana na wewe kwenye point moja tu, kwa kweli mh. Ngeleja sijaona mchango wake wa dhati katika jimbo lake,,,,,naomba wapinzani wachukue jimbo!!!!
   
 5. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nimependa leo umeamka na Ngeleja sijui na kesho utaendeleza makombora yako.Its good strategy
   
 6. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,136
  Likes Received: 3,328
  Trophy Points: 280
  Hivi huyu ngele ni mbunge wa wapi?
   
 7. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  mpigie simu
   
 8. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,183
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kaazi kwelikweli,SI ULISHAMPAGA URODA WEWE au hakukutimizia alichokuahidi?
   
 9. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2014
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 11,214
  Likes Received: 3,626
  Trophy Points: 280
  Muke Ya Muzungu pia kaandika:
  Anna Makinda: Nakuja Kugombea Jimbo Lako 2015  Naona utagombea majimbo mawili tofauti mwaka 2015!Sheria zinaruhusu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...