Ngeleja, Karamagi, Kigoda, Kalemani watajwa madudu mikataba ya uvuvi na gesi

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,222
1,670
Waliotajwa ni Ngeleja, Karamagi, Kigoda, Majogo, Kalemani, Mpina, Tizeba, Rashid.

- Wamo vigogo wa Polisi, TPDC.

IMG_20180603_090906.jpg

CHANZO: NIPASHE
 
Hamna ataeguswa hapo!!

Jiulize waliotajwa kwenye makinikia yupi yuko jela/mahabusu?

Wanaweza kuzuga kuwashitaki alafu baadae ukasikia DPP amefuta kesi!!

Wanaoshitakiwa na kufungwa ni wapinzani sio hao makada wa chama cha kijani(ukoo wa pa....nya).

Uko sahihi sana. Wanaofungwa na kunyanyaswa na utawala huu ni wapinzani kisa mkulu hana kifua cha ushindani wa kisiasa na sio kupambana na mafisadi. Hapa nikiona hatua ndio nitaamini kuna vita vya ufisadi. Kinyume na hapo vita vya ufisadi inayotangazwa ni kichaka cha kulipia visasi.

Cc: yehodaya, jingalao, kipara kipya
 
Hajui kuwa anajimaliza kisiasa yeye mwenyewe na chama chake.
 
Hii ndiyo kashfa pekee kubwa ambayo nashangaa Chenge hayupo
Atakuwepo tu, waziri ataingiaje mkataba kama huo bila kuwa na ridhaa ya AG (kita alaam na kiuandishi) na baraza la mawaziri? Labda kama sijui. Wanapotuambia tutakula nyasi unafikiri kiburi wanatoa wapi? Imani yangu ni huko huko kwenye baraza au kwa AG kama siyo vyote kwa pamoja. Yakigeuka ndo wanatafuta mchawi!!!!
 
Nawasikirikia wajumbe wa tume ya spika na hata waliohudhuria kuipokea ripoti ile kwa kupoteza muda wao bure! Hakuna hatua itakayochukuliwa hata sentimeta moja! Usiniulize kwanini ili kunitega! Nitajiondoa jf hatua zikichukuliwa kwa ndugu wapendwa wa bwana yule! Sanasana wajumbe wale wanaweza kubatizwa jina jipya kuwa sio wazalendo!
 
jiwe linawalinda wezi wenzake kazi kuumiza wabunge wa upinzani tu tunamuaomba Mungu atujibie
 
Waliotajwa ni Ngeleja, Karamagi, Kigoda, Majogo, Kalemani, Mpina, Tizeba, Rashid.

- Wamo vigogo wa Polisi, TPDC.

View attachment 792858

CHANZO: NIPASHE
Watz tuna gundu mambo muhimu hatujawahi kuyafanya kwa ufanisi. Mfano bwana mmoja alio ukwaa ukatibu mkuu wa chama, alivyokuwa ana chambua bbc na dw huamini kauli alianza kuzitoa hivi kalibuni. Ni unafiki wa kiwango cha kishetani nilikuwa shabiki wake sasa najuta
 
Watz tuna gundu mambo muhimu hatujawahi kuyafanya kwa ufanisi. Mfano bwana mmoja alio ukwaa ukatibu mkuu wa chama, alivyokuwa anachambua bbc na dw huamini kauli alianza kuzitoa hivi kalibuni. Ni unafiki wa kiwango cha kishetani nilikuwa shabiki wake sasa najuta
 
Back
Top Bottom