Ngeleja ameamua kutuoenyesha akiamua watu mlale giza, mtalala giza

makandokando

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
299
20
Hakuna wizara yenye nguvu kama Wizara ya Nishati na Madini, sana sana kwenye masuala ya kuwaweka watu kwenye giza.

Kaanza kwa kukata umeme. Wabongo mkajifanya wabishi mkanunua majenereta.

Mnajifanya mnashindana nae, sasa kasitisha na mafuta.....kuna baadhi ya wabongo wameanza kutumia solar.

Kumbukeni kuwa solar inatumia madini fulani kubadilisha jua kua umeme....na yeye ndio waziri wa MADINI, atayatungia sababu nayo isifanye kazi.

Mwaka huu, mpaka mkubali ameshinda yeye!
 
Back
Top Bottom