Ngeleja akumbana na kimeo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngeleja akumbana na kimeo!

Discussion in 'Jamii Photos' started by MegaPyne, Jul 18, 2009.

 1. [​IMG]

  Bwana waziri alifika Ubungo kuzindua mtambo wa kusindika gesi kwenye mitungi kwajili ya matumizi ya nyumbani na kwenye magari. Kwa nia njema tu!!

  [​IMG]

  Ghafla wananchi wakaibuka na kuanza kulalamikia haki yao ya fidia ili waondoke eneo hilo, jamaa walivamia kiasi cha kumfanya waziri kuacha shuguli iliyomleta ili awasikilize!

  [​IMG]

  Akajieleza kisawasawa ili kuwapooza watu hao lakini wapi!!

  [​IMG]

  Akafafanua weee mpaka kijashio kikamtoka, kweli wabongo wamebadilika, wanadai haki zao kwa nguvu kubwa sasa sijui Shukuru Kawambwa akienda kwa wakazi wa Kipawa wanaodai fidia ili kupisha uwanja wa ndege kwa zaidi ya muongommoja itakuwaje?  [​IMG]

  Wakazi wa Ubungo Maziwa wakiwa na mabango yao wakitoa kilio kwa Waziri wa Nishati na Madini juu ya hatmayao katika enheo hilo lililozungwa na mitambo hatari ya gesi na umeme jana. Ngeleja alikuwa akizindua mtambo mpya wa PanAfrikan Enegy wa kusindika Gesi Asilia itakayo tumika katika magari nchini.

  [​IMG]

  Ngeleja akijibu kero hizo kwa wakazi wa Ubungo Maziwa.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  watu wakichoka!
   
 3. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2009
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  inakuwa kama punda huyo kwenye avarta yako mkuu, inavunja mbavu sana bana. sasa akifa mzigo ataupeleka nani au utaajili kuli mwenye uzoefu wa lumbesa?
   
 4. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2009
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngeleja umeyaona hayo au ulifumba macho??
   
 5. B

  Bontowar JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2009
  Joined: Feb 21, 2009
  Messages: 524
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Sasa Kazi Ipo wa TZ tuwe amoja kama hao watu

  Kweli wapewe haki zao
   
 6. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2009
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  "The state cannot liberate people; people have to liberate themselves". Issa Shivji
   
Loading...