Kama ingekua ni hivyo basi kusingekua na haja ya kuzitenganisha mkuu, I heard Ngorongoro inaingiza mpunga mrefu kuliko Tanapa ndio maana ina uwezo wa kujitegemea na kusimamia ajira zake.

Na kama mapato yao ni makubwa, je, watalipa salary sawa na Tanapa, obviously ya NCAA itakua juu japokua job titles ni zile zile. Kinachofanya salary zitofautiane ni mapato ya waajiri (TANAPA vs NCAA)

Nb: ni maoni yangu mkuu sio kwamba nipo huko

Kwann wakati zite ni hifadhi? Na hata tittle zao za ajira ni zile zile?

Sent using Jamii Forums mobile app

silent_ocean
 
Kama ingekua ni hivyo basi kusingekua na haja ya kuzitenganisha mkuu, I heard Ngorongoro inaingiza mpunga mrefu kuliko Tanapa ndio maana ina uwezo wa kujitegemea na kusimamia ajira zake.

Na kama mapato yao ni makubwa, je, watalipa salary sawa na Tanapa, obviously ya NCAA itakua juu japokua job titles ni zile zile. Kinachofanya salary zitofautiane ni mapato ya waajiri (TANAPA vs NCAA)

Nb: ni maoni yangu mkuu sio kwamba nipo huko

silent_ocean
Nimekuelewa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumaini yote mko salama kabisa, sasa sababu ni vingumu sana tz kujua mishara ya watumishi wa Serikali sio kama mataifa mengine ambao unaenda tu moja kwa moja hadi website unakuta kila kitu,

Niko na maswali naomba msaada wa majibu, nataka kujua misahara ya watu ambao wako na hizi aina za degrees, Degrees in agriculture, finance, accounting, food technologist, plant pathologist,human resources,and logistics, kama kungekuwa na njia ya kujua hao serikalini ambao wako na aina hizo za degrees wanalipwa hela ngapi, ningeweza kujua kiasi ambacho watu kama hao hulipwa tz, so naomba msaada wenu wakuu wa kujua watu kaa hao hulipwa hela ngapi, mubarikiwe kabisa
 
Natumaini yote mko salama kabisa, sasa sababu ni vingumu sana tz kujua mishara ya watumishi wa serikali sio kama mataifa mengine ambao unaenda tu moja kwa moja hadi website unakuta kila kitu, niko na maswali naomma msaada wa majibu, nataka kujua misahara ya watu ambao wako na hizi aina za degrees, Degrees in agriculture, finance, accounting, food technologist, plant pathologist,human resources,and logistics, kama kungekuwa na njia ya kujua hao serikalini ambao wako na aina hizo za degrees wanalipwa hela ngapi, ningeweza kujua kiasi ambacho watu kama hao hulipwa tz, so naomba msaada wenu wakuu wa kujua watu kaa hao hulipwa hela ngapi, mubarikiwe kabisa
mbona mishahara yao ipo wazi, kila ngazi ya elimu na fani serikalini mishahara inajulikana....jaribu kufatilia zaidi.
 
mkuu nimejaribu lika namna na sipati, kumbuka siko hapo tz, kwahivyo sina nafasi bora ya kuongea na watu, kama ni mataifa mengine kama kenya kila mtu kwanzia raisi mpaka mkuu wa jeshi, jaji mkuu, waziri , karani ofisi hata mtu wa kupika chai ofisini wewe enda tu kwa website utakuta kila mtu na mushahara wake, je kaa kuna website kaa hio tatika tz nipe jina ya hio website , najua hakuna, ndio maana nikauliza mkuu, usione kaa sijafanya esearch ya kutosha
 
Sisi wana kilimo ni 1300000 na kuendelea kulingana na levo ya elimu Kama msc na PhD.

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
you mean a holder of a bachalors degree in agriculture has a take home of 1.3m, i dont need a phd holder those are teachers at uni and research institutes, i need the pay of a bachelors degree holder and a masters degree holder pls, so is this 1.3m a masters or bacherlers mkuu, nifafanulie pls, shukurani kwa your time
 
Mshahara wa Madereva kwenye tasisi kama TANESCO,BANKS hata TRA... Unaanzia kiwango gani cha chini?
 
leo nimeamini kuwa jf ni msitu mnene sanaa,

Mtoto mdogo anaweza kumvimbia mtu mkubwa mwenye mke na watoto...
Sisi wana kilimo ni 1300000 na kuendelea kulingana na levo ya elimu Kama msc na PhD.

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wana kilimo ni 1300000 na kuendelea kulingana na levo ya elimu Kama msc na PhD.

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
kaka kila leo nakwambia go to school ili uwe well educated sio sounds zako za kijinga kama welevu na well educated people hawamo humu

ngoja nikueleze mishahara inategemea na kada uliosomea na mwajiri wako
 
115 Reactions
Reply
Back
Top Bottom