Mwaisa1202
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 480
- 1,069
Na vipi kwa TRS 5??hii ni kwa wale Technicians wa Tanroads, ina range kati ya laki 7 hadi 9 mkuu
Na vipi kwa TRS 5??hii ni kwa wale Technicians wa Tanroads, ina range kati ya laki 7 hadi 9 mkuu
Wamesitisha lile tangazo la kazi mkuuhiii salary scale ya NCAA’s ni bei gani???
Kwann wakati zite ni hifadhi? Na hata tittle zao za ajira ni zile zile?It's not possible ifanane mkuu
silent_ocean
Kwann wakati zite ni hifadhi? Na hata tittle zao za ajira ni zile zile?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mkuuKama ingekua ni hivyo basi kusingekua na haja ya kuzitenganisha mkuu, I heard Ngorongoro inaingiza mpunga mrefu kuliko Tanapa ndio maana ina uwezo wa kujitegemea na kusimamia ajira zake.
Na kama mapato yao ni makubwa, je, watalipa salary sawa na Tanapa, obviously ya NCAA itakua juu japokua job titles ni zile zile. Kinachofanya salary zitofautiane ni mapato ya waajiri (TANAPA vs NCAA)
Nb: ni maoni yangu mkuu sio kwamba nipo huko
silent_ocean
mbona mishahara yao ipo wazi, kila ngazi ya elimu na fani serikalini mishahara inajulikana....jaribu kufatilia zaidi.Natumaini yote mko salama kabisa, sasa sababu ni vingumu sana tz kujua mishara ya watumishi wa serikali sio kama mataifa mengine ambao unaenda tu moja kwa moja hadi website unakuta kila kitu, niko na maswali naomma msaada wa majibu, nataka kujua misahara ya watu ambao wako na hizi aina za degrees, Degrees in agriculture, finance, accounting, food technologist, plant pathologist,human resources,and logistics, kama kungekuwa na njia ya kujua hao serikalini ambao wako na aina hizo za degrees wanalipwa hela ngapi, ningeweza kujua kiasi ambacho watu kama hao hulipwa tz, so naomba msaada wenu wakuu wa kujua watu kaa hao hulipwa hela ngapi, mubarikiwe kabisa
mkuu nimejaribu lika namna na sipati, kumbuka siko hapo tz, kwahivyo sina nafasi bora ya kuongea na watu, kama ni mataifa mengine kama kenya kila mtu kwanzia raisi mpaka mkuu wa jeshi, jaji mkuu, waziri , karani ofisi hata mtu wa kupika chai ofisini wewe enda tu kwa website utakuta kila mtu na mushahara wake, je kaa kuna website kaa hio tatika tz nipe jina ya hio website , najua hakuna, ndio maana nikauliza mkuu, usione kaa sijafanya esearch ya kutoshambona mishahara yao ipo wazi, kila ngazi ya elimu na fani serikalini mishahara inajulikana....jaribu kufatilia zaidi.
mkuu nimejaribu lika namna na sipati, kumbuka siko hapo tz, kwahivyo sina nafasi bora ya kuongea na watu, kama ni mataifa mengine kama kenya kila mtu kwanzia raisi mpaka mkuu wa jeshi, jaji mkuu, waziri , karani ofisi hata mtu wa kupika chai ofisini wewe enda tu kwa website utakuta kila mtu na mushahara wake, je kaa kuna website kaa hio tatika tz nipe jina ya hio website , najua hakuna, ndio maana nikauliza mkuu, usione kaa sijafanya esearch ya kutosha
you mean a holder of a bachalors degree in agriculture has a take home of 1.3m, i dont need a phd holder those are teachers at uni and research institutes, i need the pay of a bachelors degree holder and a masters degree holder pls, so is this 1.3m a masters or bacherlers mkuu, nifafanulie pls, shukurani kwa your timeSisi wana kilimo ni 1300000 na kuendelea kulingana na levo ya elimu Kama msc na PhD.
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
Sisi wana kilimo ni 1300000 na kuendelea kulingana na levo ya elimu Kama msc na PhD.
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
kaka kila leo nakwambia go to school ili uwe well educated sio sounds zako za kijinga kama welevu na well educated people hawamo humuSisi wana kilimo ni 1300000 na kuendelea kulingana na levo ya elimu Kama msc na PhD.
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~