saadmad
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 517
- 199
Mdau jibu litabaki kuwa Duuh hivyo hivyo ukifikiria kubwa kwa mwingine ni ndogo so jibu baki nalo mie naona Duuh!!Vipi kubwa au ndogo???
Mdau jibu litabaki kuwa Duuh hivyo hivyo ukifikiria kubwa kwa mwingine ni ndogo so jibu baki nalo mie naona Duuh!!Vipi kubwa au ndogo???
Ukiipata na nijuze tafadhali.Wakuu naomba niulize. Nimeona Mzumbe University wanatumia salary scale ya PGMSS. Je, mishahara yao inakuwaje, tafadhali? Mathalani, mshahara wa PGMSS 7.1 unaweza kuwa kiasi gani?
kama hauna deni bodi ya mkopo ni 749,500 take home585,000
Tgs B 390,000wadau ivi mtendaji wa kijiji na kata wenye elimu ya certificate na diploma respectively wanapokea shilingi ngapi
Ukijibiwa nishtue hiiTPGS 6 ??????
Hivi wenye shamba ndio wamekuja kugawa mpaka wa shamba sasa?Usichane resume yako. Badala ya kuomba hiyo kazi, sasa omba ukurugenzi, ukatibu mkuu, ukuu wa wilaya/mkoa. Ukishindwa omba basi hata ubunge manake utaweza kupata na uwaziri halafu mshahara wako pamoja na marupurupu yanaanzia mil 3 hadi karibia 20 kwa mwezi. Sio unaona kunavyolipa serikalini?
Ukishindwa vyote hivyo, hata ukatibu wa ccm wa wilaya? manake nako unaanzia na zaidi ya milioni! Hii nchi si inawenyewe? kama hutaki kuwa miongoni mwao, basi utaishia na hivyo vilaki 2 au 3 vile!
Hii post yako imenikumbusha mbali kweli. "Mtoto wa nyani alipomuuliza mama yake, mpaka wa shamba lao ili asijekula mahindi yasiyokuwa ya kwao. Mama alimjibu, kula tu mwanangu wenyewe watakuja kugawa". Tanzania, wanaendelea kula tu, hadi wenyewe watakapokuja kugawa! maybe in 50 or 100 years to come! who knows/cares? Don't you see them keeping a distance?